Recent content by baptiste

  1. B

    Nimeshikwa nikiwa na kufuli la house girl mkononi

    Wadau nawasalimu Jumapili familia yangu walienda kanisani kwenye ibada, mimi sikwenda nikawa nipo nyumbani tu pekee yangu naangalia TV, hata hivyo jumapili huwa hakuna vipindi vizuri kwenye chanel mbali mbali Nikawa nimepata wazo nifungue porn videos kwenye simu yangu, basi nikawa naangalia...
  2. B

    Karla Jacinto: Msichana aliyebakwa mara 43,000

    Kuna msichana mmoja katika hizo nchi za Latin America alianzisha NGO ya kutetea wahanga wa human trafficking na waliowahi kubakwa pia, akijipmbanua kuwa yeye mwenyewe ni muhanga wa kubakwa, akidai kuwa yy alishabakwa na idadi kubwa sana ya wanaume akiwa teenager, mashirika mengi makubwa...
  3. B

    Ukweli kamili wa mwana mpotevu kiungo namba nane ni huu!

    Uliwahi kudanganya watu humu kuwa ww ni mnyarwanda, lakini katika maandiko yako mbali mbali ukaonekana ukijipambanua kama mtanzania, ukitumia neno '' sisi watanzania '' sasa sijui tukueleweje, na ndio maana post zako nyingi zinapuuzwa na wengi
  4. B

    Bado sijaelewa nani anaongoza CHADEMA kwa sasa

    Naomba nilete mahari kwenu nikuoe uwe mke wangu, nimekupenda
  5. B

    Bado sijaelewa nani anaongoza CHADEMA kwa sasa

    Sawa dada lizaboni tumekusikia
  6. B

    Nimemfuma mtoto wa mke wangu akinichungulia

    Wadau nawasalimu, Mimi na mwanamke wangu tunaishi katika ule utaratibu unaoitwa na wataalam wa mahusiano ""come we stay"" yaani tumekubaliana kuishi pamoja bila ndoa, yeye amenizidi miaka kadhaa, na ni mimi ndie nilie move in nyumbani kwake, ana watoto wawili aliozaa kabla, wa kwanza...
  7. B

    Anayetuhumiwa kutoboa macho Buguruni DSM apandishwa Kizimbani

    Hivi mtoto wa kiume unavamiwa na kibaka anakuchoma visu na kukutoboa macho Muda wote huo unakua unamuangalia, inapaswa umsumbue apate tabu, buguruni wachonga matunda wamejaa na wauza kuku, unampokonya mchonga matunda kisu, wote mnakua na visu, hapo ni timing sasa, zaidi ya yote unapindua meza...
  8. B

    Israel yakanusha ndege yake kutunguliwa na Syria

    Nilijua tu habari hizo ni propaganda, Syria haina air defenses za kuitungua ndege za Israel, Russia ndio ina uwezo huo hata hivyo Russia ina makubaliano maalum na Israel kuhusu anga la Syria Israel imerusha ndege zake ndani ya Syria kwa kadri inavyo penda, Bila shida yoyote
  9. B

    Kwa hili la Feza schools ni wazi Edorgan amechanganyikiwa

    Tumeshakubaliana wewe ni kubwa la majinga wote wa jf, sasa mm siwezi kubishana na mtu mwenye sifa kubwa kama hiyo tutakesha, angalia tu maswali ya kijinga unayouliza, sasa hapo Kuna mjadala kweli? Nasubiri wenye akili zao
  10. B

    Kwa hili la Feza schools ni wazi Edorgan amechanganyikiwa

    Kweli wewe ni jinga lao, yaani kubwa la majinga wote wa jf Hivi hapa jf katika jukwaa hili la international news, mada zote tunazojadili hapa siku zote iwe Russia, America, middle east, South China Sea, Africa and beyond huwa tunajadili kama akina nani? Hata uchaguzi wa Tanzania mwaka Jana...
  11. B

    Kwa hili la Feza schools ni wazi Edorgan amechanganyikiwa

    Kaka hujanielewa vizuri, naunga mkono serikali ya uturuki kuzima jaribio hilo, wengi hatupendi mapinduzi, kuendeshwa na serikali ya kijeshi sio kitu kidogo, waturuki wana uzoefu na mapinduzi, hata serikali hii ya akina edorgan akiwa prime minister Chini ya rais abdulah gul ilipokea kijiti cha...
  12. B

    Kwa hili la Feza schools ni wazi Edorgan amechanganyikiwa

    Halaf wewe pia umeegemea upande mmoja, umeamua kuamini yanayosemwa na serikali ya uturuki ni nn base ya imani yako hiyo? Mm natazama media zote kupata uwiano, natazama sputniknews.com, cnn, press TV, Russia today, BBC Ni wazi unataka twende kwenye siasa za West na East, jambo ambalo sitafanya
  13. B

    Kwa hili la Feza schools ni wazi Edorgan amechanganyikiwa

    Sawa amini unavyodhani ni sahihi
  14. B

    Kwa hili la Feza schools ni wazi Edorgan amechanganyikiwa

    Nachofaham mm ni kuwa zile Shule wakati zinaanza zilikua zinamilikiwa na waturuki wenyewe, wakati ule hata walimu wenyewe walikua waturuki, nadhan baadae kwa mazingira yasiyoeleweka mfanyabiashara wa kitanzania na wenzie wakainunua, hata hivyo mazingira ya umiliki kwa sasa ni kizungumkuti...
  15. B

    Kwa hili la Feza schools ni wazi Edorgan amechanganyikiwa

    Si mimi peke yangu, Europe, NATO, na nchi nyingi duniani zinaamini hivi ninavyiamini mimi, Wachambuzi wengi wanaamini hivi ninavyoamini mm, ndio maana hata Tanzania imeomba ushahidi kwanza maana haiamimi Shule ya secondary inaweza kuhusika na mapinduzi hayo Ushahidi ambao edorgan amepeleka...
Back
Top Bottom