Recent content by banywanenyuma

  1. B

    JamiiForums Tanzania Askofu wa KKKT Dkt. Alex Malasusa atangaza kumsamehe Mchungaji Kimaro

    Naye Mch. aliomba msamaha wa nini sasa kama
  2. B

    JamiiForums Tanzania Utafiti waonesha Wanaume Wengi Wasio na Kisomo Wanamiliki Nyumba Kuliko Waliohitimu

    Naam.Kisomo walichonacho ndicho huwa ni halali.
  3. B

    JamiiForums Tanzania CEO wa Vodacom aliyeteuliwa toka Kenya anyimwa kibali na Serikali. Aambiwa wapo watanzania wa kufanya kazi hiyo

    Bila shaka ni utaratibu mzuri tu. Zinazowezekana tuzofanye wenyewe tusizoweza basi tuangalie jirani anayeweza.But it is not amazing a reply to a request has two feedback which are acceptance or rejection. Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
  4. B

    JamiiForums Tanzania Je, Rais katumia Kanuni au Sheria ipi kuipa Dodoma hadhi ya Jiji ikiwa Bunge ndio lenye mamlaka hayo?

    Hiyo inatumika na mamlaka ya Mh Rais ni kupitia ammendments ya 2006
  5. B

    JamiiForums Tanzania Je, Rais katumia Kanuni au Sheria ipi kuipa Dodoma hadhi ya Jiji ikiwa Bunge ndio lenye mamlaka hayo?

    Nenda tu kwenye sheria za serikali za Mitaa mamlaka za wilaya na mamlaka za miji utaona alicho kifanya. Kimsingi sheria hiyo ya upangaji inazo kasoro. Land Planning should confine it self on land matters only. Ni sawa na kusema kuwa eneo flani limewiva kupangwa likapangwa alafu ukawa mji wakati...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Warangi: Kabila lililojivunia mno asili yao

    Nimejifunza Siku ukimaliza chapisha kitabu cha historia zetu ase tukajifahamu
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume kwanini mkimaliza kufanya mapenzi mnakimbilia kunywa maji?

    Hatari sana.Wanasema wengine kuwa trip moja ni kama Nusu Marathon, sasa kama uliwahi kuwaona wakimbia mbio ujue ndiyo kazi yenyewe.WATAALAM WENGINE HUWACHEKA WAKIUME WANAOSEMA WAMEMKANYAGA MSICHANA ALIMAARUFU DEM utaskia nimempasha ase... kumbe yeye ndiye kakanyagwa... kapashwa...Ndo hivo sasa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Jilindeni na wadudu wakali msimu huu wa mvua; kuna jamaa kavua nguo stendi kisa tandu

    Sipati picha alivyoruka kama Zidane anaenda kupiga kichwa
  9. B

    JamiiForums Tanzania Polisi hawaruhusiwi kuchukua kesi za kudaiana hela

    Asante mjomba wape shule wasomaji
  10. B

    JamiiForums Tanzania Hivi Kampuni ya Mabasi ya Ngorika imekumbwa na nini?

    Kweli Ngorika na Buffalo noma.Hilo linalotaka kuwanyonga wenzao si lijue tu hata mwenye nayo kayaacha?Tamaa za fisi hazifai.Well.Ngorika ilikuwa inaenda na kwakweli taarifa za ajali hawakuwa nazo
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mtatiro/Zitto: Sherehe za Bombadier zikiisha tuhesabu hasara za ATCL, tumelipa dola mil 60 kukomboa ndege zilizokamatwa

    Ni uhuru wa kufikiri lakini hatuwezi kuwa wazembe wa kufikiri kwamba sasa wale walikamata ndege ikidhi deni lao ambalo hata alifiki nusu ya bei ya denge hiyo.Sawa Kiongozi.Ulidhani ni busara tuwache kuwalipa wanaotudai ili tuendelee ku risk mali za nchi? Kuwalipa haki yao kama ilifanyika ni...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Je, ni halali kupokea misaada ya nyama ya kafara toka uarabuni?

    Basi sijaelewa unacho maanisha lakini najua nyama au uchinjaji wa aina yoyote na mtu yetote kwa ajili ya kutambika si nyama halali
  13. B

    JamiiForums Tanzania Je, ni halali kupokea misaada ya nyama ya kafara toka uarabuni?

    Hiyo nyama ya kafara au ya tambiko?
  14. B

    JamiiForums Tanzania Tecno ipi inakaa na chaji muda mrefu?

    Zote sawa tu inategemea na ubofyaji na program ulizo install
  15. B

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Rais Magufuli awajibu Watetezi wa Haki za Binadamu. Asema wanaweza kuwa wanatetea uovu

    Hapa kazi tu. kwa binafsi yangu sijaona kosa la Mh.Raisi.Hiyo ndiyo ''HAKI ISITENDEKE TU BALI ILI IONEKANE KUTENDEKA' kuna tofauti gani na kinachofanyika katika mahakama za wazi? Bila kujali kuwa na mimi siku moja yanaweza au yatanikuta.Katika utendaji kukosea ni suala la kawaida ila ukisha...
Back
Top Bottom