Recent content by Banxbanxson

  1. Banxbanxson

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu zisizofutika

    Ahsante sana,, Ninajitahidi kuliondoa hili akilini kwangu na kila siku nahisi ndivyo ugumu unaongezeka
  2. Banxbanxson

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu zisizofutika

    Kwa muda uliopita nilitarajia kuwa ningekuwa nimezoea, Actually hata nikijaribu kupotezea na kukubaliana na ukweli bado inaniwia vigumu. Kadidri ninavyofanya juhudi kusahau ndivyo uchungu hunikamata na kujikuta nikitokwa na machozi.
  3. Banxbanxson

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu zisizofutika

    Habari ndugu na Jamaa, Napenda kushare kwa wanajamii forums jinsi ya kunisaidia kusahau au kupata relief ya kumbukumbu ya rafiki yangu.. Hatukusoma pamoja shule ya msingi ingawaje tulitoka kijiji kimoja. Tulibahatika kwenda shule moja ya sekondari wakati huo. Tukawa marafiki wa kushibana kwa...
  4. Banxbanxson

    JamiiForums Tanzania Ni utapeli au napoteza bahati?

    Usijichanganye tafadhali. Hakuna mzigo hapo na ukishatuma tu huwapati tena.
  5. Banxbanxson

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa vodacom una shida au

    Simu na jumbe hazitoki wala kuingia, lakini upande wa Internet inafanya kazi vizuri tu
  6. Banxbanxson

    JamiiForums Tanzania WHATSAPP TEXTS: Huwa unachukulia vipi ile situation ya mtu anaku-blue tick alafu hajibu wala kureact chochote?

    Sijawahi kuumiza kichwa kwa kitu hiko..watu Wana mambo mengi ya kufanya..sometimes mtu hana majibu au hataki tu kujibu na kwangu hilo ni sahihi.
  7. Banxbanxson

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Betpawa
  8. Banxbanxson

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kuna ndugu aliweka Treni hapa ya timu 39, nilicopy kama ulivyo, hadi sasa games 21 zimechezwa na zote zimekubali, tuzidi kutakiana kheri tu
  9. Banxbanxson

    JamiiForums Tanzania Kariakoo, Upanga na Posta wana nchi yao nyingine kabisa

    Hili si la Uongo, nimekutana na Kijana Mzaliwa wa kariakoo mwenye Familia yake, hakuna sehemu nyingine anayoijua zaidi ya Kariakoo, Ilala, Magomeni na Posta yenyewe..Kwa sasa ndiyo ameanza angalau kutoka anaeza kwenda Maeneo mengine nje ya Mji...
  10. Banxbanxson

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nimefanya hivo Tangu Usiku lakini Pesa haijaingia kitu ambacho sikukutana nacho hapo kabla
  11. Banxbanxson

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Alhamdulillah...nimesikia Malalamiko ya huyu jamaa kutolipa,,vipi kuna taarifa yoyote wakuu?
  12. Banxbanxson

    JamiiForums Tanzania Azam marine kuleta boat mpya hivi karibuni

    Kupitia page yao ya Instagram, Kampuni ya usafirishaji Baharini ya Azam marine inayomilikiwa na Mzee Said Salim Bakhresa, imetangaza rasmi ujio wa boat yao mpya iitwayo Kilimanjaro VIII iliyopewa jina la FALCON OF THE SEA. Boat hiyo mpya kabisa iliyotengezwa nchini Australia inatarajia kuwasili...
  13. Banxbanxson

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    01:56
  14. Banxbanxson

    JamiiForums Tanzania Leo, nimethibitisha kwamba Zanzibar ni nchi inayojitegemea

    Habari Kiongozi. Bandari Dar kwa wauza ticket hawakatai namba ya Nida. Tatizo mamlaka ya Bandari haijaweka machine ya kutambua vitambulisho hivyo basi wahudumu wanataka vitambulisho phisically ili kuthibitisha. Ndiyo maana mara nyingi kama ikitokea situation kama hiyo watakushauri ufuate...
Back
Top Bottom