Recent content by bantugarage

  1. B

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kumnadi Magufuli Jumatano

    Akimnadi Magufuli ndiyo itakuwa mwisho wa game.Vema awasafishe wengine kwenye list of shame amuache Lowassa na aombe msamaha kwa Mh.Rais kwa kauli zake za nyuma na akiri udini alioufanya kwenye last election
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ugomvi wa Lowassa na Kikwete wawapumbaza Watanzania

    Mimi nadhani ifike mwisho sasa.Kwa nini tubakie na neno fisadi kila siku mpaka inaonekana ni jina la Mh.Lowassa.Hapa kuna jambo kubwa ndani.someone somewhere must come out openly na kuweka mambo hadharani.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete ateua Wakuu wa Wilaya 13 wapya, ahamisha wengine 7

    Very good.....anayo mamalaka mpaka ile siku bendera ya rais mpya inapandishwa.Mh.Rais tuko nyuma yako waoneshe hekima yako ya kufanya hivyo.siyi lazima kuwaiga marais waliopita....VIVA Presida.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Dk. Slaa na Zitto kupanda jukwaa moja

    Bravo Daktari Slaa...lakini nijuavyo UKIMYA ni silaa nzuri sana.Watu wengine hawampendi Dr.Slaa hivyo tuiombe Serikali impatie ulinzi ie tuwe na kikosi maalum cha kumlinda Dr Slaa na wajengewe nyumba zao karibu na nyumbani kwa Slaa Dr.
  5. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

    Faiza Foxy.........wape darsa kuhusu Kheri na Shari zinatokana na ALLAH
  6. B

    JamiiForums Tanzania kuna nini morogoro road

    Labda Rais anakwenda Chalinze
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mama Janeth Magufulia ampiku Regina Lowassa

    Regina ni mrembo na anaonesha ana huruma..tena ni msomi wa Korogwe Girls wakati uleeeeee.Uso wake umejaa bashasha na anaonekana siyo mpenda wapambe wala mijimama mimbea
  8. B

    JamiiForums Tanzania Picha: Lowassa na Sumaye hawakukutana barabarani

    Wa katokati ni nani
  9. B

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Mtama Nape hali mbaya

    To:Chakaza....mbona nashindwa kuamini kama Mzee Makamba amewahi kusema Nape hafai duniani wala mbinguni....sababu ni;mazishi ya baba yake Nape yalisimamiwa na Makamba....Nape na Makamba wapo chama kimoja....Makamba anamuogopa Nape kwa mitusi
  10. B

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Monduli: Mkutano wa Edward Lowassa - Uwanja wa Barafu Mto wa Mbu

    Gentamycine......Mbona inakuwa vigumu kukuelimisha kuhusu kujadili afya ya binadamu mwenzako.Hiyo ni kazi yake MUNGU peke yake.Nakuomna usikilize ule mwimbo wa kipindi cha wagonjwa kinachorushwa na Tbc.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Nyosso wa Mbeya City adhabu haitoshi-apelekwe mahakamani

    Boycot kucheza na Mbeya city......kama Manager anamtetea..
  12. B

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa ipo Temeke

    Hiyo nyumba iko barabarani haigongwi na gari
  13. B

    JamiiForums Tanzania Slaa amerejea nchini

    Yes.....sawa kabisa na sasa Chadema wanaipa taabu ccm kwa kumtosa EL
  14. B

    JamiiForums Tanzania Slaa amerejea nchini

    Ok tukubali Lowassa ni mchafu....then what is the way forward.. Kwenye List of shame kwa nini yeye peke yake anazungumzwa.... Je ni kwa sababu anagombea uongozi,kama ndiyo vipi kuhusu walioko madarakani na wametajwa kwenye list.. Chadema wako strategic saana,walijuwa EL atakuwa next Presida...
  15. B

    JamiiForums Tanzania TANAPA: Vifo vya Nyumbu Mto Mara ni Jambo la Kawaida

    Huwezi kupunguza...hiyo ni NATURE....lazima wafe ili wengine wapate chakula ni kama vile sisi na ngombe..mbuzi etc etc.halafu wanazaana saana saana na mwisho ni wajinga sana hawa Nyumbu
Back
Top Bottom