Recent content by bantu.garage

  1. B

    JamiiForums Tanzania King'amuzi cha azam na "no program"

    Weka new soft ware kama wanavyoelekeza mara kwa mara kwenye Xtra channel.Ukishindwa nenda kwao wakirekebishe
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni ameagiza kusimamisha kazi kwa Mganga Mfawidhi hospitali ya Mwananyamala

    Jina la mganga pse....pia namba yake ya simu...tumsaidie mkuu wa wilaya kumhoji
  3. B

    JamiiForums Tanzania Wazee wa umri wa kuanzia miaka 70 na kuendelea sasa kuanza kulipwa pensheni

    Magufuli ni mtu wa dini......atawalipa wazee wa EAC
  4. B

    JamiiForums Tanzania Lusinde: Wapinzani wanaoenda kumuona Spika ni wanafiki, wanamchonganisha na Naibu Spika

    Shame kwa kiingereza na ni aibu kwa kiswahili.Elimu....Elimu....Elimu.Kwa namna hii hatutakwenda kokote.Watu wanataka maridhiano ili tuwe na amani huyu Mh.Mbunge hataki maridhiano...ni kama anazima moto kwa Petrol.Uchochezi ..ahojiwe na polisi na ashitakiwe.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kwa aina ya mazoezi niliyoyaona Ukonga na Moshi, wana UKUTA badilini gia!

    Mahakama ya ICC yaja jamani.........Maridhiano ni bora...Turidhiane jamani...chonde chonde.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awatembelea Spika wa bunge Ndugai na Waziri Mkuu mstaafu Malecela

    MwenyeziMungu ndiye Custodian wa afya zetu na uhai wetu.Hakuzaa wala hakuzaliwa na hana Mshirika..na kwake sote sisi tutarejea.Tafakari maneno haya na kaza buti kwenye kufanya IBADA.
  7. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Tuko tayari kwa UKUTA 01/09/2016

    Jamani chonde chonde na UKUTA....naona mahakama ya ICC inakuja na sijui kama tunao kina Kibatala na Tundu Lissu wengi.Tuongeeni yaishe.....nyiye viongozi wa dini muko wapi...????hasa wale wa kamati ya Amani.....hatupendi sura zenu kwenye TV....Tunataka mayendo yenu ya kimaliza hili la Ukuta salama.
  8. B

    JamiiForums Tanzania CUF yajitoa kwenye UKUTA, yadai UKUTA ni azimio la CHADEMA na si UKAWA

    Hapa nipo nachora picha ya UKUTA kwenye daladala langu.....Je ni kosa kisheria..????nijuzeni ili nisiingie matatani.Lakini ukweli naunga mkono ukuta mzuri.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mzee Akilimali atuomba radhi, lakini amesimamishwa uanachama wa Yanga

    Akilimali hawamuwezi.....yuko very strong.Ni kama vile IRON OLDMAN
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa Manji, Yanga kukodishwa na Kutishia kujiuzulu. Yaliyopo Nyuma ya Pazia.

    Uwanja wa Simba waanza pendeza.Rage hoyeee
  11. B

    JamiiForums Tanzania Njooni tukumbuke movie za zamani.wale wakongwe karibuni

    Muhogo Mchungu ya RIP Mzee Kawawa.
  12. B

    JamiiForums Tanzania TV1 Kurusha Live ligi kuu ya Uingereza(EPL)

    Bi Kidude namuona TV1
  13. B

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Taifa la Tanzania ukiimbwa unatakiwa Usimameje?

    Wewe kama ni raia simama kwa heshima....mengine ni ya askari na jeshi....ole wako upige saluti.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa anayefahamu vizuri gari aina ya Surf

    Ni zuri kama magari mengine.nunua tu.
  15. B

    JamiiForums Tanzania DC Humphrey Polepole kageuka kuwa Trafiki Dar es Salaam

    Kamanda Mpinga upooooo.....????
Back
Top Bottom