Katika kipindi hiki,kuhama ka EL na kupewa Bango la Urais; ukimya wa Dr na uwezekano wa CUF kufa Tz Bara ji chachu na pilipili kwani havichanganyiki! Mwaka 2015 si lelemama.
Nadhani tusiwe wepesi kukiamuria chama,tusubiri wakati ukifika. Mashaka yangu ni juu ya CDM Wakabila. Hata Uhayani mwaka huu hawatapata kitu. Wanataka kuwasimamisha Wachagga kama wagombea wakati Wahaya wapo!
Dharura zipo si lazima kujua nini kinepelekea mahudhirio hayo. Hata hivyo,inaweza kuwa ni propaganda tu iliyofanywa ili watu wengi waelekeze macho na masikio yao huko.
Wakati mwingine tutunie zaidi akili za kuzaliwa!
ACT fanyeni juhudi za kuichukua Kigoma YOTE. CDM maeneo yao yatatwaliwa na mgawanyiko huo. CDM ni chama cha Wachaga pekee. Ni chama cha Kikanda hasa Kaskazini. Maeneo kama Iringa Mjini na Mbeya ni kwa makosa waliyofanya CCM wakati huo. Nao wamejua walijikwaa wapi.
UKAWA sasa kwisha habari yao...
Inasemekana hata sadaka na hela za waumini hazijulikani zilipo. Kuna uwezekano pia haadhi ya waumini wakamshtaki mara atokapo hospitali. Tusubiri tuione picha halisi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.