Recent content by Bankobeza Kyamani

  1. B

    Mafisadi wafisadi mabilioni mradi wa umeme wa mvuke Rwanda

    Sorry,frankly speaking Tanzania is NOT. Apology hence.
  2. B

    Mafisadi wafisadi mabilioni mradi wa umeme wa mvuke Rwanda

    You needed to come with more details, it is like now you enauire from others. Do more research and revert for otbers to hip in. Is Rwanda LIKE Tanzania?
  3. B

    Rwanda na Burundi Wavutana Kuhusu Viwiliwili Vya Watu 40

    Ukiisoma vyema ramani iliyoonyeshwa, mto unatiririka kwenda kwenye ziwa linalolalamikiwa kukjtwa na maiti. Kwa kifupi ni kwamba, MAITI ZIMEKOKOTWA NA MTO KUTOKA RWANDA HADI KWENYE ZIWA. Mswali zaidi ni ya nini?
  4. B

    Police wa Barabarani akiwa Kazini.

    Siyo lazima kuwa kila picha ji sahihi. Kukosa kazi kunaweza kusababisha mtu kufanya mambo ya hovyo.
  5. B

    Katiba imekaa vizuri sana

    Na wewe ukiwemo. Kujitusi inakusaidia nini?
  6. B

    CHADEMA: Mission failed

    Don't urgue with.... as people around won't notice the difference!
  7. B

    CHADEMA: Mission failed

    You are Wrong and Right both ways. Wrong because the educated cluster is no longer with CDM, the bogus!. You are right as you are backed with unemployed group without anything to lead them than unpromising political voices. ULTIMATELY, the WHOLE nation will get to know who are CDM lossers. Feel...
  8. B

    CHADEMA Kimetuangusha Watanzania

    Bila kung'ata maneno, CDM ni cha Ukoo wa Kaskazini Mkuu!
  9. B

    CHADEMA: Mission failed

    Was in Iringa just passing-by, CDM claim to carry the operation scientifically. Failure has featured across the country as awareness level now is HIGH. They need to sit down and analyse themselves.
  10. B

    CHADEMA: Mission failed

    As time goes on the youths come to an awake situation as time wastage. Politics isn't always by force!
  11. B

    Makamanda sasa sera jino kwa jino ya tufaa zaidi

    Kwa akili na uwezo wako mdogo wa kuchambua mambo, hata mtoto wa Chekechea asingeandika hayo. Rudi darasani au omba ushauri kila unapotaka kuanzisha mjadala.
  12. B

    Wajumbe waislamu katika bunge maalum la katiba kuikataa rasimu ya 3 ya katiba

    Mtoa mada ni mzandiki na mchochezi mwanafunzi, fikiri kwanza kabla ya kuandika. Huo ni ubaguzi wa kidini usiokubalika!
  13. B

    Maandamano ya CHADEMA Korogwe

    Vijana ni Taifa la kesho na uzalishaji ni muhimu zaidi ya ujinga wa kuandamana. Vijana tubuni kazi mbalimbali za kufanya, tuache kufanya kazi za wanasiasa kwani ni kazi yao. Kwao maisha yako JIONI. Funguka kijana, achana na kudanganywa kupoteza muda wako!
Back
Top Bottom