Chama cha mainduzi ni chama au genge la wezi wanaokula bila kunawa na mafisadi waliokithiri. Hili ni genge la mijitu iliyo very selfish ambayo haitaipeleka nchi yetu popote ndo maana mwalimu nyerere alisema ni sawa na dodoki. CCM haina nia njema na wananchi wa nchi hii na hasa vijana.
Nccr ikaja na vijana wengi tukajiunga chini ya A.Mrema tulipiga nginjanginja nchi nzima but baadae tukagundua Mrema ni boya tukajiunga na chadema .
Tulitegmea mengi kutoka hiki chama lakini nacho ni kama NCCR tu, hamna jipya. kila muda unavyoenda ndivo kinavyozidi kupungua nguvu. Wote tunajua kua wabunge chadema 2015 watakuwa wachache mno. Independentcandidates ndo watakaochukua nafasi za wabunge wa chadema. Chadema kimetuangusha kama ilivokuwa kwa nccr.
Kwa mtazamo wangu chadema imebugi, mambo yote ni independent candidates . Mnaonaje?
Sijakuelewa galiya, CHADEMA inazidi kupungua nguvu au inazidi kuongeza nguvu? kwanini Polisi wanawazuia kufanya shughuli zao yakiwemo maaandamano na mikutano ya ndani?