Recent content by Banjobege

  1. B

    Wasifu (CV) ya Dr. John Pombe Magufuli

    Nenda katafute CV ya Paul Kagame then uje kuongelea CV ya Magufuli
  2. B

    Mnyika, Kukimbia sio suluhu ya kuondoa tatizo

    Kama kazi ya kuleta maendeleo ni ya CCM mnatafuta Ubunge na Udiwani wa nini si mtulie
  3. B

    Mambo makubwa Matano kutokea baada ya 25th Oct

    Umenena kweli kabisa hamna UKAWA baada ya tarehe 26.10.2015
  4. B

    GE2015 Askofu Mwingira: "Rais wa awamu ya tano siyo katoliki wala uislam"

    Hivi tunachagua Imamu au Askofu? Wapumbavu kabisa mnaoshabikia ujinga huo
  5. B

    Lowassa acha kuhadaa Watanzania, sema ukweli wako juu ya kuchukia umasikini

    Ninachofahamu Lowasa ni msanii mno hana lolote zaidi ya kutafuta kura japo hapati kitu
  6. B

    ONYO: Makongoro Nyerere kabla hujafa hujaumbika

    Ni kweli unachosema lakini kwa maslahi ya nchi lazima rais wa nchi atuhakikishie kuwa ana afya njema ili kuepuka gharama za uchaguzi
  7. B

    Haya mazoezi ya ndege za Kijeshi mjini (Dar) yanatia shaka kipindi hiki!

    Hii ni ndoto ya mchana kwa UKAWA sawa na Mende kuangusha kabati
  8. B

    Mdahalo ITV: Umuhimu wa Maadili katika kuimarisha Amani, Umoja na Haki kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Nadhani Mzee Butiku amehitimisha vyema mdahalo huu kwa ufupi ameongea mengi ambayo wengi hatuyafahamu.Hatukuwa tunafahamu jinsi ambavyo mtandao wa waroho wa madaraka akiwemo Lowasa walivyovuruga chama Tawala tokea mwaka 1995 mpaka Mwl.Nyerere alipoingilia kati.Sichukii utajiri bali nachukia...
  9. B

    Mada moto Channel 10: Edward Lowassa ndani ya UKAWA. Polepole amfananisha na malaya...

    Nilifuatilia kwa makini mazungumzo hayo kimsingi Mch.Msigwa alichemsha sana kwasababu alitoka nje ya mada ya msingi kwani alipanic mpaka moderator ilibidi aingilie kati.Mch.Musigwa alichukua masuala ya kusikia na yasiyona mantiki kitu ambacho kilimtoa nje ya mada ya msingi
  10. B

    CCM wamwandaa Magufuli kwa midahalo!

    Safii Edo atachemsha ile mbaya
  11. B

    Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Ukweli wa mambo utajulikana muda si mrefu,
  12. B

    Ushahidi kuwa Lowassa hakupata wadhamini milioni moja laki sita

    CHADEMA wameamua kufanya maigizo ngoja tuwasubiri tutawanyoa asubuhi
  13. B

    TIMU Magufuli tukutane hapa

    Tuko pamoja naamini ushindi utapatikana
Back
Top Bottom