Angalizo kwa Dr. Slaa na Edward Lowassa!

Angalizo kwa Dr. Slaa na Edward Lowassa!

ni chizi tu hajui kwamba lowasa alitumia rushwa kubwa tena kupindukia kwa wajumbe wa NEC wa CCM na mkutano mkuu.
kuhusu slaa, tulishawaambia siku nyingi sana kuwa huyo siyo leader materials na ikulu aisahau, nyie ndo mnagutuka sasa. too late.
KING COBRA
 
Last edited by a moderator:
umeandika hoja zako vizuri sana lakini umekosea sehemu moja tu...ku discredit mwanamke kwenye mambo ya msingi, kwamba mke asishirikishwe kwenye mambo yanayohusu chama,umeonesha upeo mdogo na mfumo dume ambao tunaupiga vita sana. Hilo tu limekuangusha otherwise you have got a very analytical thread
 
It will take tym watu kumuelewa Dr., ila mda haudanganyi let's wait

Mkuu sindikiza like yangu na hili.

“If a man is called to be a street sweeper, he should sweep streets even as Michelangelo painted, or Beethoven composed music, or Shakespeare wrote poetry. He should sweep streets so well that all the hosts of heaven and earth will pause to say 'Here lived a great street sweeper who did his job well.'”
[h=2]Martin Luther King, Jr.’s
[/h]


cc Dr.W.Slaa
 
Last edited by a moderator:
Mkuu king cobra hili ni jiwe la maana sana sasa nimetoka njia panda maana hawa watu wawili walinieka njia panda nisielewe nikae upande gani..asante kwa uzi mtamu..viva ukawa!!


:glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy:
 
ANGALIZO KWA DR SLAA NA LOWASA

Bila shaka kuna watu ndani ya CHADEMA na hata nje ya
CHADEMA wanataka kujenga hoja ya kumunyanyapa LOWASSA ati ni Fisadi , hata mimi niliingia mtego huu lakini napenda kuhojhi yafuatayo:

Ukijijibu swali hilo hapo maneno mekundu pengine wafuasi wako watakuelewa.
Ni lini uingiwa na huo mtego wa kuwa Lowassa ni fisadi?
Ni lini huo mtego ulikutoka?
Ni nani alikuwa anamhusisha Lowassa na ufisadi?
Ufisadi ni nini?
Lowassa anasemaje kuhusiana na Richmond ukiacha suala la kuwa Bosi wake ndiyo alifanya maamuzi bado anaamini hapakuwa na Ufisadi kwenye zoezi lile la kuleta Richmond ?

Lowassa anasema nini kuhusiana na Ufisadi uliotamalaki ndani ya Serikali aliyoiachaa ambayo chama chake ilikuwa sehemu ya uhuni huo?

Kama anauchukia Umaskini na anadiriki kuutamkaa hili la kuchukuia Ufisadi kwanini iwe dhambi kwa kuitamka?
 
Ukijijibu swali hilo hapo maneno mekundu pengine wafuasi wako watakuelewa.
Ni lini uingiwa na huo mtego wa kuwa Lowassa ni fisadi?
Ni lini huo mtego ulikutoka?
Ni nani alikuwa anamhusisha Lowassa na ufisadi?
Ufisadi ni nini?
Lowassa anasemaje kuhusiana na Richmond ukiacha suala la kuwa Bosi wake ndiyo alifanya maamuzi bado anaamini hapakuwa na Ufisadi kwenye zoezi lile la kuleta Richmond ?

Lowassa anasema nini kuhusiana na Ufisadi uliotamalaki ndani ya Serikali aliyoiachaa ambayo chama chake ilikuwa sehemu ya uhuni huo?

Kama anauchukia Umaskini na anadiriki kuutamkaa hili la kuchukuia Ufisadi kwanini iwe dhambi kwa kuitamka?

Haswaa, KING COBRA , Tafadhali hebu tuanzie hapa.
 
Last edited by a moderator:
KING COBRA,

Ninaomba kutoafautiana nawe katika hoja zako za "ANGALIZO KWA DR SLAA NA LOWASSA" na "MAONI KWA SLAA"

1. Kama kwa kutumia kigezo cha hoja binafsi ya Lowassa kuangamiza nafsi yake, then hata suala la Dr. Slaa kuamua kuwa kimya katika hili kwa "ushauri wa mkewe" (ambaye ni mwili mmoja, refer Biblia hiyo hiyo uliyotumia mfano wa Sauli/Paulo).

2. Hapa ndipo penye utata, unasema Lowassa yuko tayari kutumia Pesa na mali zake kwa hili swali ni kuwa, Katika utumishi wa Umma wa miaka yote hii, je, Lowassa amepata wapi pesa hizi? Wakati fulani husema(Lowassa mwenyewe) ni msaada kutoka kwa marafiki wake, lakini ni marafiki gani hawa wasioweza kutajwa? Usiri huu huoni ni mojawapo ya watu kuhisi ni fedha haramu?

3."Hasira kali na miungu ndani ya CCM": Nadhani unasahau kama Lowassa ni mmojawapo kati ya watu waliokuwa "miungu" ndani ya CCM. Na ni ushindani/ubinafsi huu kati ya "miungu mtu" ndani ya CCM(yaani Lowassa na wenzake) kulikotufikisha hapa leo. Hivyo ni hoja binafsi.

4. Naomba nikukumbushe, Lowassa alikuwa W/Mkuu aliyejiuzulu na si kustaafu, kuna tofauti kubwa kati ya haya, Mkuu. Sasa unaposema Lowassa ana ulinzi mkali n.k ulinzi ulikuwa wapi wakati akistaafu kuanika hizo "nyaraka" hadharani, maana Apson si wa leo usalama wa Taifa.

5. Lowassa kuwa mwanachama wa kawaida au mwanachama mwenye wadhifa lakini si mgombea ndani ya CHADEMA, hakumfanyi kusahau the dance he and his friends have been dancing over a decade kuhusu wizi wa kura. Wala yeye kuwa mgombea hakumfanyi kujua zaidi wa kutaka kura za wizi katika uchaguzi mkuu ujao, CHADEMA ameikuta safi, haya ya wizi wa kura ni huko huko alikotokea.


6 &7. Ninakubaliana na wewe hii haijawahi tokea, Hata Hayati Mwl. Nyerere JK, pamoja na kuwahi kusema, "CCM si baba yangu wala mama yangu.." na pia "..adui wa CCM atatoka ndani ya CCM.." lakini pamoja na maneno haya, hakuwahi (Nyerere JK) kutoka, 'hii ni kubwa kuliko'. Anyway there's the first time to everything, Lakini hii haipaswi kutupumbaza, kwa namna ambavyo CCM hawakutegemea hili ndivyo hivyo vivyo CHADEMA hawakutarajia. Inahitaji kujipanga na si kukurupuka, sadly nahisi katika hili tuli/tumepotoka.


8. Hadi sasa mengi yanaendelea 'political world', na pengine Mh. JK Mrisho akivunja baraza la mawaziri hapo ndipo tutakapojua nani yuko CCM na nani hayupo/hakuwepo.


Mkuu, niliwahi kusema, "Kama kuna kosa walilofanya UKAWA/CHADEMA ni kumpokea Lowassa too soon, na kama kutakuwa na kosa kubwa zaidi ni kumfanya awe mgombea Urais kupitia mojawapo ya vyama vinavyounda UKAWA."

Jambo ambalo Dr. Slaa ama wengi wetu(mimi mmoja wao) tuna walakini nalo ni la kumkubali/kumpokea Mh. Lowassa bila masharti. Yes, yes..here's where you talk about Win-Win situation(Lowassa kupata urais na CHADEMA kupata kura na viti vingi) but at the expense of what exactly? 'You win some you lose some'.

Hoja ulizozileta hapo juu, kuwa Lowassa anatumia nguvu ya mali/pesa(ambazo hatujui chimbuko lake) ili kuing'oa CCM ni ideal, unless useme angefanya vile vile haya kama angepitishwa kuwa mgombea urais kupitia CCM(Jina lake lisingekatwa), kitu ambacho we both know isingewezekana.

I second you, Pengine Dr. Slaa wasn't/isn't a right person to defeat CCM akichuana na Magufuli, but this doesn't make Lowassa to be. We are throwing the basis ya chama the 'anti-ufisadi fight' by puting Lowassa upfront, Just Lowassa being in CHADEMA is huge threat kwa CCM, ila kulikuwa na ulazima wa yeye kufuata masharti, nakumbuka msemo mmoja usemao '

'I am a slow walker, but i never walk back'. Sasa with all listing(list of shame), tunarudi nyuma tena this time bila focus, Kuna watu wamejeruhiwa kwa ajili ya hiki chama na kuna watu wamefungwa, kufilisiwa, kutishwa, kuachishwa kazi kwa ajili ya hiki chama and above all kuna watu wamefia hiki chama in the name of 'anti ufisadi fight' leo hii bila hawa kupewa maelezo vyema/ya kina na kumkubali mtu aliyekuwa mawazoni mwao kama wamjuavyo ni more than an insult. Hope mioyoni mwetu tutakuwa tunakumbuka haya tukipoteza wanachama na familia za wale walioji_sacrifice.
 
Last edited by a moderator:
Watanzania wangekuwa makini walipaswa kuwa na mtizamo kama huu lakini ni ajabu utasikia mawazo kama kwao walio wengi watakubeza.Tunapaswa kuwajua wezi na wahujumu wa raslimali za Taifa mapema ili tusifanye makosa ya kurudia kuwachagua.
 
Nina amini katika ujumbe huo nilioutoa na kila mtu yupo huru kuamini anavyo ona hili ni suala la mda
 
Kazi itafanywa na watu wadogo sana usiowatarajia na hata huyo Lowassa hawajui ni watu wapya kabisa na Oktoba utashangaa JPM anaapishwa. Huijui nchi hii wewe unaonekana mkimbizi
 
umeandika hoja zako vizuri sana lakini umekosea sehemu moja tu...ku discredit mwanamke kwenye mambo ya msingi, kwamba mke asishirikishwe kwenye mambo yanayohusu chama,umeonesha upeo mdogo na mfumo dume ambao tunaupiga vita sana. Hilo tu limekuangusha otherwise you have got a very analytical thread

Mmmhhh.
 
Dahhhh hapo lubuva akishatangaza tuuuu hakuna atakae bisha, sharia haitoi mwanya wakupinga matokeo,. Kazi ipo.
 
Umenena vema mkuu


imagejpeg
 
Back
Top Bottom