Recent content by Bandu Ncheche

  1. Bandu Ncheche

    Uchaguzi 2020 Wagombea Urais 2020 wasiendelee kujichosha

    Ningependa sana Rais awe Tundu Lissu halafu waziri mkuu wake awe Magufuli Ila haiwezekani kabisa
  2. Bandu Ncheche

    Nilipomuona Lissu jana hapa Mwanza machozi yalinitoka, hakika Mungu yupo na anaishi

    Hata mimi nilitarajia Lissu hataweza hata kukumbuka jina lake,Mungu anatisha sana
  3. Bandu Ncheche

    Uchaguzi 2020 MDAHALO: Mtoto amelilia wembe, CCM mpeni

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  4. Bandu Ncheche

    Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Rais ndiyo Nembo

    Mbona alipiga kampeni hatimaye akashinda kwa kishindo!! Wacha longolongo
  5. Bandu Ncheche

    Uchaguzi 2020 Maajabu ya Gwajima: Waumini wananyeshewa mvua, yeye anaahidi kujenga barabara kwa pesa zake mwenyewe

    Alishasema kuwa mbunge ni kujishusha kaamua sasa sio tu kujishusha, kujidhalilisha
  6. Bandu Ncheche

    Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge wa Mbeya Mjini, Tulia Ackson afanya kampeni na watoto wadogo

    Niliimba sana nyimbo za kukisifia chama cha mapinduzi utotoni, nilipoanza kujitambua nilijuta sana.
  7. Bandu Ncheche

    Tupe mkasa wako ulivyoishia kumuoa uliyedhani utapiga na kusepa

    [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
  8. Bandu Ncheche

    Pendekezo: Baada ya CCM kung'olewa madarakani Oktoba 28, IGP Sirro awe wa Ofisa wa kwanza kung'olewa madarakani

    Siamini kama hajui chanzo cha tatizo ni hao wasimamizi wa uchaguzi,hana la kufanya zaidi ya kutetea kibama chake kisiingie mchanga.
  9. Bandu Ncheche

    Baada ya Lissu Kusema Serikali haijaajiri Walimu kwa Miaka 5, Serikali imeamua kuajiri

    Bila upinzani hizo ajira zingetoka!!,tunaowapinga na kuwabeza sana wapinzani tujitafakari,Wapinzani wapo kwa ajili ya kuwatetea wanyonge na si vinginevyo,lakini kuna watu wakishapigwa propaganda za CCM hata uwezo wao wa kujiongeza unakufa kabisa
  10. Bandu Ncheche

    Pamoja na Elimu yangu ya Darasa la Saba, acha nimfundishe Magufuli

    Kama hatapeleka maendeleo sawa tu ila hata mapato yanayotoka kwenye majimbo husika wawachie wenye majimbo,kinyume chake ni dhulma.
Back
Top Bottom