Recent content by bamwesongo

  1. B

    JamiiForums Tanzania DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Goba njia nne upande wa kuja matosa lini tutapata maji tunateseka sana tunauziwa maji unit 1 elfu 13000/= tusaidieni na sisi
  2. B

    JamiiForums Tanzania DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Na huku kwetu goba njia nne dawasco lini mtatuletea maji tunataabika mno
  3. B

    JamiiForums Tanzania Makonda: Atakayenunua makontena yangu atalaaniwa yeye na kizazi chake! Atoa onyo kwa atakayethubutu kununua

    Kumbukeni aliulizwa mwanzoni akasema hayatambui makontena hayo wala hausiki nayo, iweje sasa ayatetee na laana juu kuna mashaka ndani yake Sent using Jamii Forums mobile app
  4. B

    JamiiForums Tanzania Amerudi akitaka niende kumposa kwao wakai nimeshabadili mawazo

    Maswali mengine hayana majibu kila kitu kiko wazi subiri ukimwi ndipo uamue lililojema.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mwanaume epuka haya makosa uishi maisha marefu

    Du minapita tu kwani yajayo yanafurahisha
  6. B

    JamiiForums Tanzania KANUSHO: Dr. Mwele Malecela hajateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa WHO Afrika

    Hongera sana Dr Malecela ninakuombea siku moja uwe mkurugenzi mkuu wa dunia nzima
  7. B

    JamiiForums Tanzania Generations na love making, yajayo yanaogopesha!

    Du biashara ya kuwekeana kizibo cha kidole kwenye... Mhii hapana ni shida
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kwenye ustaarabu, jamii ya Waarabu wanaongoza

    Tujadili yetu ya waarabu na wazungu hayatuhusu. Wakati wa kujitambua ni sasa tusijidharaulishe.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Sitaki zawadi yoyote tofauti na Chupi Shem

    Pesa unatoa wewe umeambiwa wewe, umeleta huku unataka tununue sisi upeleke? Wewe ndiyo ibilisi siyo yeye.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Kuzama chumvini kuna faida kubwa sana kiafya

    Ndiyo maana wahenga walisema akili za kuambiwa changanya na zako.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Wana ndoa na mlio kwenye mahusiano sogeeni niwajuze

    Du umeua sana mpe B angalau
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mke wangu ameona dawa yangu ya kukuza uume imekuwa tafrani

    Na kweli subiri kukuche
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kilichonikuta Sauna

    Mhii mengine haya sasa ni matangazo ya biashara zenu
Back
Top Bottom