Recent content by bAmubaM

  1. B

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji Kisarawe

    Mkuu vipi ulishaanza huu mpango wako huko kisarawe, kama umeshaanza tayari naomba nikutafute maana na Mimi nataka Nije huko mkuu
  2. B

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata pamba kama hizi?

    Hahahaha
  3. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kutokana na dalili hizi huu ni ugonjwa gani?

    Ila dalili zote hizo ni kama ana epilepsy (kifafa), but kwa msaada zaidi mpeleke hospitali mkuu
  4. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kutokana na dalili hizi huu ni ugonjwa gani?

    Sukari 170? Au umekosea ni 17
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kuliamini hili suala

    Hahahaha ni mambo ya kusikitisha Sana my friend
  6. B

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kuliamini hili suala

    My friend wewe muite tu huyo demu , my friend ukishamuita muulize, my friend akisema ni kweli muonye, my friend akikataa nitumie namba yake mimuonye, my friend, my friend, my friend..
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nashindwa kumuelewa mama yangu mzazi

    Nadhani huu ushauri utamfaa mleta mada
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa Ushauri na tiba ya maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi (dysmenorrhea)

    KakaJambazi, Sio apate mimba, inabidi apate mtoto angalau huwa inasemwa kuanzia wawili ndio maumivu hupungua maana misuli katika tumbo la uzazi inatanuka hivyo inasaidia maumivu kupungua.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ushamba wa wabongo, Viewers wa youtube si kigezo cha uzuri wa wimbo

    Kabisa mkuu
Back
Top Bottom