platoon commander
Member
- Jun 16, 2019
- 14
- 18
Amani iwe juu yenu..
Nipo mwanza kwa sasa ila ni mgeni kidogo wa hili jiji. Naomba wenyeji mnielekeze maduka ya pamba kali za jeans, cardet, mashati bila kusahau shoes...
Nipo maeneo ya kirumba karibu na police station. Nipeni Location plz