Recent content by bamu

  1. B

    JamiiForums Tanzania Burundi hakuna wapinzani wenye ushawishi mkubwa kwa umma

    Ndugu wa jf unapoandika maada yoyote fikiri kwanza.Walas Ba una uhakika wale vijana ni wanywa viroba ?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Boss mpya, mgao wa maji mara moja kwa mwezi sasa basi?

    Jamani naona kuna ushirika kati ya wenye magari ya kuuza maji na DAWASCO.Wauza maji wako bize kila siku lakini maji kwenye mabomba yetu hayatoki.Kulikoni ndugu zangu ?Naomba tujuzane.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Suruali za kubana, nguo za ndani; muuaji wa kimya kimya

    Haya vijana wa kileo someni na tafakari.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Hivi wanandoa wenzangu na wake zenu pia wako kama huyu wangu?

    Kama wewe ni mkristo washirikishe kwanza wale wasimamizi wa ndoa yenu.Kama itashindikana wasimamizi wawashirikishe wazazi wa pande zote mbili wakiwepo washangazi ambao ni muhimu sana kwenye suluhu kama hizi.Pole sana ndugu yangu.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Smartphone hapa

    nina laki mbili na nusu mkuu.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ofa ofa ofa: Punguzo la bei 50% (Mitumba bomba)

    Niko mikoani nitakupataje.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Anaepajua wilaya ya Lushoto

    Lushoto ni wilaya yenye hali nzuri sana ya hewa.Usitishike na milima.Hongera kwa kupata ajira.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Original Galaxy grand mpya kwa Tshs. 300,000/=

    Niko Tbr naihitaji.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mgeni katk mtandao wa jamii forum

    Heeeeeeeeee GENTA una mambo wewe.
  10. B

    JamiiForums Tanzania TV4Sale BNL Electronics: Smart TVs, LED Tvs for sale!

    ninazo laki 800000.00 mkuu unasemaje.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Shuka za cotton kubwa size 8*8

    5x6 zipo
  12. B

    JamiiForums Tanzania Shuka za cotton kubwa size 8*8

    Nahitaji nitakupataje ?Nitakuwepo dar tar 27/4 nitakupata wapi nazihitaji sana.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ramani ya nyumba ya kisasa

    Una hela ndefu ndugu yangu.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Nini kinawachochea vijana Watanzania kujiunga na Ugaidi?

    Ndugu zangu malezi ya mzazi mmoja ni tatizo. Nawashauri wanaume wanaobahatika kuzaa watoto kwenye michepuko yao wawachukue mapema kuepuka dhahama kama hii.Mtoto akiungana na ndugu zake wa upande wa pili mapema inakuwa rahisi kumpa muongozo.
  15. B

    JamiiForums Tanzania St. Kayumba

    mie simo kabisaaaa.
Back
Top Bottom