Tatizo letu ni kubaki kulalamika pasipo kufanya jitihada za kujinasua kutoka kwenye umasikini,n.k;ndiyo maana nchi za magharibi zinatusuta "Waafrika acheni kulia 'ukoloni','ukoloni' daily,simameni,fanyeni kazi,jengeni uchumi wenu".Leo watu wanalia;"Nyerere mpuuzi,katufanya tuwe maskini!" huku...