Wazee wa Dar: Tulitaka kumuuliza Rais

Wazee wa Dar: Tulitaka kumuuliza Rais

Vipi wahisani watarejesha misaada kwenye bajeti ya maendeleo?
 
2010, aliiambia tume yake ya uchaguzi na TISS wampe ushindi kwa sababu hataki kuwa raisi wa historia. Akagushi uraisi. Sasa bado anajilengesha kwenye maabara.

Ninadhani sasa historia asiyoitaka, anaitengeneza mwenyewe. Ninaona kuna haja ya kumfanya demonstration ili wahuni wenzake wanaolazimisha kwenda ikulu kwa hila huku wajijua mioyo yao haiko kwa taifa, wapaogope ikulu. Wasikimbilie ila mhuni kama kwenda uani.

Amejilengesha kwenye maabara. Anatakiwa kuwa somo ili watu wajue Ikulu ni mahala tofauti na panahitaji watu wenye sifa na uwezo na si mradi anajua kutoa rushwa na analindwa na wezi.

Nimechukizwa na huyu mtu anayewafanya Watanzania wote wehu.
 
hAYO Maswali nimeulizwa pia na mke Wangu muda si mrefu... Hope Rais anapitia hapa, Watanzania wa Leo hawaongopewi tena ....

Wamelalamika kuwa wao hawakuuliza. Wanasema kama kuzungumza nao,kama inavyokuwa kwa Waandishi wa Habari,walikuwa na shauku ya kurusha maswali yao kwa Rais baada ya hotuba yake.

Wanalalamika kunyimwa nafasi. Wengine wameapa kutokwenda tena watakapoitwa. Nimejaribu kuwaelewesha bila ya kueleweka na wao kuelewa. Wakatest kuniuliza maswali mawili-matatu.

La kwanza,kwanini TANESCO hawakurudi ICSID kwa miaka saba na wakuu wao,yaani Wizara ya Nishati na Madini, kutowahoji kwa kutokwenda kwao huko? La pili,mgogoro kati ya TANESCO na IPTL ulikuwa ukijulikana Serikalini?

La tatu,ni kweli kulikuwa na hukumu iliyoamuru fedha zilipwe kwa IPTL? CAG alikagua vipi fedha isiyo ya umma? La tano,kukiuka kulipa kodi kunasameheka na si jinai tena?

Kutokana na uzito wa maswali hayo,kulingana na umri na uwezo wangu,nimewaomba niwajibu kwa barua au simu baada ya utafiti ulio fiti.

Rais anaweza kufikishiwa maswali haya. Ni ya msingi!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 
Ahahahahaaaaaa........dhaifuuuuuuuuu.

Hivi kama pesa sio ya umma au serikali iweje gavana atake kujua serikali imelindwaje dhidi ya ulipwaji wa fedha hiyo ili hata mdeni mwingine akija kutokea serikali isiwe hatiani?

Na kama hiyo pesa ni ya pap au iptl iweje rais au serikali imuwajibishe waziri wake kwa kupewa pesa na mtu asiyehusika na serikali?.....rais njoo utujibu maswali haya acha uhuni wa rejareja....leo ulikuwa una "wozozaaaa tuuuu unazoza-zoza tuuuu hata sie wazee wa mwanza hatukukuelewa unaongea nini na wazee wa dar es salama"

pole lakini...ila ujuwe umeamsha waliolala na sasa zamu yaku kukunywesha dawa ya usingizi ulale wewe.
 
Hiv wazee wa iliyokuwa jumuiya ya Afrika Mashariki walikuwepo?
 
Wamelalamika kuwa wao hawakuuliza. Wanasema kama kuzungumza nao,kama inavyokuwa kwa Waandishi wa Habari,walikuwa na shauku ya kurusha maswali yao kwa Rais baada ya hotuba yake.

Wanalalamika kunyimwa nafasi. Wengine wameapa kutokwenda tena watakapoitwa. Nimejaribu kuwaelewesha bila ya kueleweka na wao kuelewa. Wakatest kuniuliza maswali mawili-matatu.

La kwanza,kwanini TANESCO hawakurudi ICSID kwa miaka saba na wakuu wao,yaani Wizara ya Nishati na Madini, kutowahoji kwa kutokwenda kwao huko? La pili,mgogoro kati ya TANESCO na IPTL ulikuwa ukijulikana Serikalini?

La tatu,ni kweli kulikuwa na hukumu iliyoamuru fedha zilipwe kwa IPTL? CAG alikagua vipi fedha isiyo ya umma? La tano,kukiuka kulipa kodi kunasameheka na si jinai tena?

Kutokana na uzito wa maswali hayo,kulingana na umri na uwezo wangu,nimewaomba niwajibu kwa barua au simu baada ya utafiti ulio fiti.

Rais anaweza kufikishiwa maswali haya. Ni ya msingi!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Ndugu zangu, hakuna nikionacho tofauti na Rais kuwa "impeached" full stop. Hata kama pesa ilikuwa halali ya IPTL, Rais kavunja Katiba kwa kutoitetea. Aliapa kuilinda, na kuilinda ni pamoja na kuhakikisha sheria inafuatwa na kuchukua mkondo wake. Vipi na tangu lini kutolipa kodi si makosa? Na rais kayalinda!
 
vuta nikuvute mzushi unayedai wazee walitaka kuuliza maswali. labda hujui itfaki ya mikutano ya raisi wewe. ule ulikuwa mwaliko wa kuongea na wazee na sio tete a tete ambako unaweza kuuliza maswali. Nyerer pia alikuwa akiongea na wazee na haulizwi maswali.. Nitakujibu maswali yako kama ifuatavyo. Tanesco hawakurudi ICSID kwa miaka saba kwa sbabau ya gharama ya kuendesha kesi ICSID na kutokuwa na uhakika wa kushinda kesi. Pia walipewa angalizo na mwanasheria wao Mzee Mkono juu ya athari au risk wanayoweza kuisababisha wakirudi ICSID. Wizara haikuwahoji kwa sababu Tanesco wanayo bodi yao na inatoa taarifa kila baada ya robo mwaka kwa wizara. Kuhusu mgogoro kuwa unajulikana jibu ni ndiyo na ndiyo sababu kubwa iliyomfanya Mheshimiwa mwanasheria mkuu wa serikali kuangalia njia nzuri ya kuumaliza mgogoro huu ili usiwe mzigo kwa serikali. Lengo likiwa ni kuumaliza kabisa mgogoro huu wa iptl.
Hukumu iliyoamuru fedha zilipwe kwa iptl ilikuwepo na ipo hata kesho ukienda masjala ya mahakama kuu au maktaba yao utaipata nakala ya hukumu hii kwani huwa zinawekwa maktaba kwa marejeo.
CAG alikagua fedha hizo baada ya ninyi na akina kafulila kuzusha uongo bungeni hivyo ikabidi aagizwe CAG akague kwa ukaguzi maalum.
Kukiuka kulipa kodi ni jinai na hakusameheki na Mheshimiwa rais hajasema wamemsamehe mtu kulipa kodi. Isipokuwa yule anayekwepa kulipa kodi anatozwa kodi na riba juu yake na atakaposhindwa kulipa ndipo sasa hufunguliwa mashtaka ya jinai. subiri process inaendela ikikamilika utajua tu kwani tupo wazi
Wamelalamika kuwa wao hawakuuliza. Wanasema kama kuzungumza nao,kama inavyokuwa kwa Waandishi wa Habari,walikuwa na shauku ya kurusha maswali yao kwa Rais baada ya hotuba yake.

Wanalalamika kunyimwa nafasi. Wengine wameapa kutokwenda tena watakapoitwa. Nimejaribu kuwaelewesha bila ya kueleweka na wao kuelewa. Wakatest kuniuliza maswali mawili-matatu.

La kwanza,kwanini TANESCO hawakurudi ICSID kwa miaka saba na wakuu wao,yaani Wizara ya Nishati na Madini, kutowahoji kwa kutokwenda kwao huko? La pili,mgogoro kati ya TANESCO na IPTL ulikuwa ukijulikana Serikalini?

La tatu,ni kweli kulikuwa na hukumu iliyoamuru fedha zilipwe kwa IPTL? CAG alikagua vipi fedha isiyo ya umma? La tano,kukiuka kulipa kodi kunasameheka na si jinai tena?

Kutokana na uzito wa maswali hayo,kulingana na umri na uwezo wangu,nimewaomba niwajibu kwa barua au simu baada ya utafiti ulio fiti.

Rais anaweza kufikishiwa maswali haya. Ni ya msingi!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 
Wale ni sehemu ya vigagula waliopachikwa jina la wazee wa Dar es Salaam...

Asili yao ilianza na wale vigagula waliokuwa wakimlinda Kambarage na kumfanyia matambiko Dar, Bwagamoyo na kule Kilimanjaro...
 
rais anapata kKIGUGUMIZI..kuwaajibisha wateule wake
rais anaziita MADAFU..fedha halali za NCHI

Wamelalamika kuwa wao hawakuuliza. Wanasema kama kuzungumza nao,kama inavyokuwa kwa Waandishi wa Habari,walikuwa na shauku ya kurusha maswali yao kwa Rais baada ya hotuba yake.

Wanalalamika kunyimwa nafasi. Wengine wameapa kutokwenda tena watakapoitwa. Nimejaribu kuwaelewesha bila ya kueleweka na wao kuelewa. Wakatest kuniuliza maswali mawili-matatu.

La kwanza,kwanini TANESCO hawakurudi ICSID kwa miaka saba na wakuu wao,yaani Wizara ya Nishati na Madini, kutowahoji kwa kutokwenda kwao huko? La pili,mgogoro kati ya TANESCO na IPTL ulikuwa ukijulikana Serikalini?

La tatu,ni kweli kulikuwa na hukumu iliyoamuru fedha zilipwe kwa IPTL? CAG alikagua vipi fedha isiyo ya umma? La tano,kukiuka kulipa kodi kunasameheka na si jinai tena?
 
vuta nikuvute mzushi unayedai wazee walitaka kuuliza maswali. labda hujui itfaki ya mikutano ya raisi wewe. ule ulikuwa mwaliko wa kuongea na wazee na sio tete a tete ambako unaweza kuuliza maswali. Nyerer pia alikuwa akiongea na wazee na haulizwi maswali.. Nitakujibu maswali yako kama ifuatavyo. Tanesco hawakurudi ICSID kwa miaka saba kwa sbabau ya gharama ya kuendesha kesi ICSID na kutokuwa na uhakika wa kushinda kesi. Pia walipewa angalizo na mwanasheria wao Mzee Mkono juu ya athari au risk wanayoweza kuisababisha wakirudi ICSID. Wizara haikuwahoji kwa sababu Tanesco wanayo bodi yao na inatoa taarifa kila baada ya robo mwaka kwa wizara. Kuhusu mgogoro kuwa unajulikana jibu ni ndiyo na ndiyo sababu kubwa iliyomfanya Mheshimiwa mwanasheria mkuu wa serikali kuangalia njia nzuri ya kuumaliza mgogoro huu ili usiwe mzigo kwa serikali. Lengo likiwa ni kuumaliza kabisa mgogoro huu wa iptl.
Hukumu iliyoamuru fedha zilipwe kwa iptl ilikuwepo na ipo hata kesho ukienda masjala ya mahakama kuu au maktaba yao utaipata nakala ya hukumu hii kwani huwa zinawekwa maktaba kwa marejeo.
CAG alikagua fedha hizo baada ya ninyi na akina kafulila kuzusha uongo bungeni hivyo ikabidi aagizwe CAG akague kwa ukaguzi maalum.
Kukiuka kulipa kodi ni jinai na hakusameheki na Mheshimiwa rais hajasema wamemsamehe mtu kulipa kodi. Isipokuwa yule anayekwepa kulipa kodi anatozwa kodi na riba juu yake na atakaposhindwa kulipa ndipo sasa hufunguliwa mashtaka ya jinai. subiri process inaendela ikikamilika utajua tu kwani tupo wazi

Usiendeshwe na jazba kijana. Toa hoja

Mzee Tupatupa
 
Ni kweli Mkuu ashinikizwe huyu DHAIFU kwamba hotuba yake imeacha maswali mengi sana kuliko majibu. Tunataka aitishe news conference ili ajibu maswali husika toka kwa waandishi wa habari bila kukwepa na kujichimbia Ikulu.

Mkuu BAK, hapa tunapoteza muda kumjadili JK, hatabadilika mpaka oct 2015, ameshasema amechoka na anasubiri tu apumzike.
 
Hakuna ubishi bado rais wetu hajapowa matatizo ya tenzi dume kwa hotuba ile anahitaji full recovery khaa !
 
Back
Top Bottom