George Masaju afanyiwa ibada maalum ya maombezi

George Masaju afanyiwa ibada maalum ya maombezi

Tendo hilo hilo likifanywa na waumini wa dini nyingine linageuka kuwa UDINI hii nchi hadi sunna ya kumwagika damu ipite ndio tutaheshimiana

Acha 'maneno mbofu mbofu' Mr.Masatu!mbona wengi tu huwa wanaombewa na mashekhe na hakuna aliyesema huo ni udini!halafu issue ya kumwaga damu siyo solution,zipo nchi zimepigana kwa issue hiyo hiyo na bado 'heshima' uitakayo haijarejea.Fikiria upya bro.
 
Wana JF leonilibahatika kuabudu kwenye kanisa la Wasabato Ushindi Mikocheni B, na tukiolililonivutia sana ni la kumwombea na kumkabidhi kwa Mungu Mwanasheria mpya waSerikali Bwana George Masaju. Ilikuwa ni ibada nzuri sana iliyoongozwa na MchGeofrey Mbwana ambaye ni Makamu wa Askofu wa kanisa la Wasabato Ulimwenguni.Baadhi ya mafungu ya Biblia ambayo MchungajiMbwana alisoma ni pamoja na Isaya 56:1 “ Bwana asema hivi, Shikeni hukumu,mkatende haki; kwa maana wokovu wangu u karibu kuja, na haki yangu kufunuliwa.”Kumbukumbu 28:7 “Bwanaatawafanya adui zako wainukao juu yako kupigwa mbele yako; watakutokea kwa njiamoja, lakini watakimbia mbele yako kwa njia saba.”Kisha aliombewa maombi ya nguvu:
  • Mungu ampatie hekima
  • Mungu amuondolee hofu
  • Asiwe na maadui, yaani kazi yakeikubalike kwa kila mtu
  • Mzigo utakapokuwa mzito kwake Yesuatakuwa karibu kumsaidia
  • Awe mshauri bora kwa Rais naserikali
  • Mungu ambarikie atokapo na aingiapo
  • Mungu amuwekee utisho, pasiwe na mtuwa kumtisha kwa lolote
Kwa ibada hiyo na mashauri aliyopewa nina imanikuwa atakuwa AG wa aina yake hata UKAWA watamkubali. Watanzania tuendeleekumuombea ili asitishwe na mafisadi

Naomba umkumbushe kila mara kwamba asifanye kama alivyofanya Werema, mambo ya kuingia mabungeni siku ya Sabato tayari itamwondolea huo upako alioupata jana, maana hawa jamaa wanakuwa waumini wazuri kabla ya kupata madaraka makubwa lakini wakishayapata amri ya 4 kwao inakuwa haina maana kabisa na ndipo wanapoanza kuwa majambawazi wa maisha ya watz na hata hekima inakosekana kabisa. Rejea Wasira, Werema n.k. Kama wakiona wanalazimishwa kufanya mambo yaliyo kinyume cha imani yao WAJIUZURU kuliko kumwaibisha Mungu!!
 
Tendo hilo hilo likifanywa na waumini wa dini nyingine linageuka kuwa UDINI hii nchi hadi sunna ya kumwagika damu ipite ndio tutaheshimiana
Nilisoma sunna inaruhusu kumla mkeo 0713 kama akikubali na dini inaruhusu na allh amekubali na kufarahia
 
Ivi baada ya kustaafu kuichezea simba,huyu huyu joji masatu sii alienda ktk makombe ya mafuta uarabuni? kaja kasoma sheria..

Hongera masatu

Mkuu, acha utani. Masaju na Masatu wapi na wapi ?
 
tungefanya hivi sie wa muhamadi ingeakua balaa. Wacha wenye nchi yao waombewe
 
Back
Top Bottom