Kawida mbwa hubweka akiwa nyumbani kwake so kwa kauli za Kagame lazm kuna nchi zilizo nyuma yake ndo maana anathubutu kuyanena hayo aliyoyanena, hatuna budi kuwa makini ktk hilo
Ifike wakati tukubali tu muungano kwa sasa hauna nguvu kwa sababu wazanzibari walio wengi hawautaki kwanini bara tuung'ang'anie! Tukubali tu kuwe na chombo cha kutuunganisha ktk kujadili masuala ya muungano ambayo ni serikali ya tatu na serikali ya kila nchi. Bila dha hata mwalimu JK...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.