Recent content by Balozi limited

  1. Balozi limited

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Umenikumbusha the same scenario ilinikuta nilipigwa na baridi cive na kikakandwa pia[emoji3][emoji3][emoji3] Aiseh Mungu atusaidie vijana tunapitia mengi sana
  2. Balozi limited

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hapo sure ss tulikuwaga na HR mmoja kwenye halmashaur mjn uko kaupiga mwingi sana, kuna tuvituvitu hivi
  3. Balozi limited

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Oral inakautamu kake aiseh,
  4. Balozi limited

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ameen kaka, yajayo ni mema zaidi
  5. Balozi limited

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Aiseh
  6. Balozi limited

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kabisa, sasa na private yenyewe nyingine ni maumivu makaali sana aiseh kuliko ujobless, wakuu washshe tu mapdf huenda asali iko njiani, ukiona giza nene sana ujue kuna karibia kukucha
  7. Balozi limited

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Nimekuwa addicted na pdf aiseh baada ya kuonja flavour ya ujobless sasa, aiseh hakuna kitu kigumu km unaamka na hujui uende wapi, askiwambie ntu tututu bia tamuu
  8. Balozi limited

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Duuuh aiseh, Eeeh Mungu baba simama nasisi vijana utujalie tuweze kupata ridhiki za kila siku, Ameen
  9. Balozi limited

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Cha kwanza kupata kazi kwanza haya mengine ya sijui nani analipwa Sh ngp yatajulikana huko mbele ya safari, na hakuna mshahara unaotosha wapo maticha wanaupiga mwingi sana, kinachobaki ni kujiongeza tu kwa kuangalia fursa zilizo mbeleni, asikwambie mtu kukosa kazi aseeh ni janga la taifa sana...
  10. Balozi limited

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wenye vigezo mkumbuke kuongeza RECEIVED UKO. Watu wakianza kuchomolewa database msije sema hazitangazwi[emoji3][emoji3][emoji3]
  11. Balozi limited

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kwahiyo sisi wa december/january tukae mkao wa kula[emoji3][emoji3][emoji3]
Back
Top Bottom