Recent content by balo29

  1. balo29

    Natafuta nyumba ndogo

    Awe na rangi yeyote Awe na Shape nzuri Awe na Heshima Aheshimu familia yangu Asiwe msumbufu Akubali kunizalia Asizidi miaka 40
  2. balo29

    Wanandoa hii hali imewahikukukuta?

    Yananikutaga Sana hayo, kwangu sio mageni
  3. balo29

    JamiiForums Usiku wa manane

    0325
  4. balo29

    Wanaume tunatafuta pesa kwa ajili ya wanawake?

    Ni kweli, ingekua sio kungekua hakuna haja ya kujenga wala kufanya chochote, ni kula Bata mpaka unakufwa
  5. balo29

    Hivi kuna mwanaume mwenye elimu yake anayeweza kuoa mwanamke ambaye hajasoma?

    Mapenzi hayana darasa mkuu, ingawaje ni ngumu Ila wapo, Tamaa ndio huleta mapenzi na sio elimu, sema bongo saivi karibu watu wengi wanafika form 4 kwahiyo bado mahusiano ya namna hiyo ni nadra kutokea
  6. balo29

    Maswali na Majibu, Questions and Answers (Science, Engineering, Accounting and Management)

    Naulizia kubusu BVM(Bachelor of Vertenary Medicine),hiii kozi ikoje? na vipi kuhusu gursa zilizopo Tanzania zinazoendana na kozi hiyo?
  7. balo29

    GE2020 Rais ajaye ni Lissu Mungu anajua hivyo hata Shetani anajua hivyo

    Ndio Mungu na Shetani walivokunong'oneza?.... Hongera sana
  8. balo29

    Ulishawahi date na 'Pisi kali' lakini ina kasoro?

    Mmenikumbusha mbali sana, mimi nasomaga wenzangu waliyo yaandika ila leo hii mada imenikuna Oya kipindi flani tu hapa kama miaka mi 2 au 3 iliyopita nilipata pisi kali sana tena siyo kwa kuitongoza bali kwa mazoea niliyokua nayo hiyo pisi tangu utotoni, Aisee kwa ile pisi niliipita umri mwingi...
  9. balo29

    Pendekezo kwa Tundu Lissu na CHADEMA

    Wanakuja wenyewe chama kujibu ndugu yangu, kama huna moyo bora usingeandika maana nahisi na matusi utayapata
Back
Top Bottom