Recent content by baller

  1. B

    JamiiForums Tanzania Unahitaji ushauri juu ya masuala ya ujenzi na gharama zake? Karibu tukuhudumie

    Kiongozi hii hadi kufikia hatua hii imegharimu kiasi gani
  2. B

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa vyumba vya kupanga, mrejesho wa uwekezaji

    Mkuu naomba kuulza mfumo wa mashimo ya choo umetumia huu wa kisasa wanaosema unapoteza maji au ule tuliouzoea wa shimo kubwa na dogo?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi SADC - 14M kwa Mwezi

    Ukitaka kutuma application unatuma kwa njia gani. Maana hawajaweka address au email
  4. B

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ujenzi wa bwawa la Nyerere sio suluhisho la umeme kwani umeme wa maji sio chanzo sahihi cha nishati nchini Tanzania, itumike njia hii

    Best solution ni kwenda nyuklia tu huo ndo umeme ambao upo stable na wakutosha
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya ununuzi wa magari ya mnada unaofanywa na TRA kwa njia ya mtandao

    Kabla hujachuku unaangalia condition unaruhusiwa kwenda kulikagua, kuna baadhi ya watu walibahatika kuyapata ambayo yapo katka condition nzur
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya ununuzi wa magari ya mnada unaofanywa na TRA kwa njia ya mtandao

    Hyo bid price ndo kodi yenyew utakacho kuja kulipia ni gharama za usajili tu
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya ununuzi wa magari ya mnada unaofanywa na TRA kwa njia ya mtandao

    Hello JFs members Naomba mnipe mawazo/ushauri juu ya ununuzi wa magari yanayopigwa mnada na TRA kwa njia ya mtando. Idea niliyonayo ni kwamba ninunue gari then nilifanyie matengenezo kidogo halaf niliuze. Mfano magari kama IST, Raum na mengineyo ya type hizo unakuta kwenye mnada yanaanzia 6M...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Nisaidie bei ya used
  9. B

    JamiiForums Tanzania Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Mkuu, hii ni used au mpya?
  10. B

    JamiiForums Tanzania Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Mkuu una turbo ya land rover defender injini 300tdi
  11. B

    JamiiForums Tanzania Maboresho kwa ramani hii

    Inaezekana ni nyumba yake ya pili au ya tatu, kwa hyo haitaji haraka
  12. B

    JamiiForums Tanzania Huu ndio Mzigo wangu wa Movie

    Kuna series inaitwa Tehran nayo ipo bomba sana
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ni ipi channel yako bora kwenye king'amuzi cha DStv, Azam, Startimes, Zuku na Continental?

    History Discovery National geographic
  14. B

    JamiiForums Tanzania Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Braza na makadirio ya kodi hapo boda ya tunduma yapoje mfano kwa hzio LC 70 series au 100 series?
Back
Top Bottom