Recent content by balina28

  1. B

    JamiiForums Tanzania 2025 ili ukubalike kwa haraka, italazimu Tundu Lissu kulitaja jina la JPM kuomba kura kwa Wananchi

    mkuu uchumi ukipanda lazima pia bei ya vitu itaongezeka automatically
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tunaomlaumu Tundu Lissu hebu basi tuvae viatu vyake

    32 tena si ni 16 mkuu,kupigwa risasi kawaida mbona ata 50 cent alipigiwa risasi 9 tena close range akapona
  3. B

    JamiiForums Tanzania Tunaomlaumu Tundu Lissu hebu basi tuvae viatu vyake

    ko magu sio binadamu
  4. B

    JamiiForums Tanzania Tunaomlaumu Tundu Lissu hebu basi tuvae viatu vyake

    wewe lissu baba ako kwan?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Tundu A. Lissu amekata tamaa ya kuja kuwa Rais wa Tanzania. Ataendelea kuwa Mwanaharakati Machachari wa Tanzania

    kabeba maono gan na wewe? mtu ana gubu kama nini
  6. B

    JamiiForums Tanzania Tunaomlaumu Tundu Lissu hebu basi tuvae viatu vyake

    sasa anavoongea ivo mwisho wa yote atapata nini,au akiongea ivo ndo anajiskia amani,just stupideness
  7. B

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli kafanya nini cha ZIADA? Ame-underperform. Kafanya miradi Mitatu tu, kakamilisha Mmoja wa ndege basi

    wew acha kuonhea ongea bila point we unajua zile ndege zinavoleta faida me nafanya kazi pale airport zile ndege hua zinajza sana watu wa comoro kila siku wanakuja na kirud zinajza yan sana faida inakuja kubwa adi wengine hua wanakosa usafiri
  8. B

    JamiiForums Tanzania Men Talk: Una handle vipi michepuko yako?

    uy Mkuu huyo mchepuko mkalishe chini kwanza mpange vizuri tafuta njia nyingine ya kuchat nae,au muambie muwe mnachat kupitia emails mke wako hawezi kuchunguza kwenye email
  9. B

    JamiiForums Tanzania Sema ukweli, umewahi fanya mapenzi na wanaume au wanawake wangapi?

    Dah mkuu ulichelewa sana hao mbona wachache umekula, me nakumbuka nilianza kula papuchi darasa la 4 ile nadhan enz izo michez ya baba na mama utoton tunakulana kwel kweli,yan adi saiv nimekula mademh karibia 200 ivi
  10. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuishi na Wanawake kwa akili

    Hahaha we jamaa salute umetisha
  11. B

    JamiiForums Tanzania Meghan Markle: Walikataa kumfanya Mtoto wangu mwanamfalme (Prince) kisa mweusi kidogo

    royal family inaleta faida kubwa sana UK wewe,wale ni tourist attraction kila mwaka hua wanaleta faida ya 1 Billion Usd kupitia tourism
Back
Top Bottom