Tunaomlaumu Tundu Lissu hebu basi tuvae viatu vyake

Tundu Lisu alivuna alichopanda na ataendelela kuvuna anachopanda sasa!!
Yuko "salama" mikononi mwa mabeberu kama jinsi mbuzi anavyojiona yuko salama kwenye banda la mfugaji. Siku ya sikukuu ikifika na mfugaji anahitaji kitoweo ndipo mbuzi atakapogundua kuwa kumbe aliingia mkenge!!
Hata Osama bin Laden kuna wakati alikuwa anajiona salama sana katika mikono ya mabeberu!! Kilichotokea wote mnakifahamu!! Ni suala la muda tu!!
Mkwara mbuzi
 
Tundu Lissu hafai kuwa Rais wa JMT. Mimi siyo CCM wala CHADEMA, yaani sina chama. Lakini sina trust na Lisu kabisa kwa usalama wa Taifa letu.
Watu wajinga Kama wewe mpo wachache mno.Huwezi jua kwa nini mipango ya kumuua ilishindikana.
God is super-extra-great.
 
'…Tunapaswa kusamehe yaliyopita ila sio kusahau, kwa kuwa tukisahau huenda tukarudia Makosa…'-Prof Ibrahim Haroun Lipumba 2003 kwny Uzinduzi wa Muafaka wa pili wa Kisiasa Znz baada ya mauaji ya Jan 21,2001

Wakati akizungumza hayo alikuwa akimtazama Katibu Mkuu wa Ccm Mzee Mangula, Mratibu wa muafaka huo upande wa Ccm Mzee Kingunge na Mwenykt wa Ccm Mzee Mkapa, Katibu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad alikuwa akitikisa kichwa chini na juu kuashiria kukubali maelezo hayo

Mbona tundu alisema kipindi cha kampeni kwamba amewasamehe wote watesi wake ila nikiona twit zake kule Twitter yule bwana bado anakinyongo.
 
Kwa hali aliyopitia Tundu Lissu hata aongee namna gani yuko sahihi tu. Hayo mambo ya kusema ni msaliti, mara katumwa na mabeberu sio vyema kabisa.
Ifike tu hatua tukubali kuwa wenye mamlaka wamemfanyia mambo sio.
Hata angekuwa nani asingekaa kimya kwa madhila aliyopitia
sasa anavoongea ivo mwisho wa yote atapata nini,au akiongea ivo ndo anajiskia amani,just stupideness
 
sasa anavoongea ivo mwisho wa yote atapata nini,au akiongea ivo ndo anajiskia amani,just stupideness
Stupid ni kusema katumwa na mabeberu wakati yeye anaeleza uhalisia wa aliyopitia.
Nina uhakiki kwa wenye mamlaka kuna vitu wanajifunza kupitia hizo kauli anazotoa Tundu Lissu.
 
Back
Top Bottom