Mungu aliposema tuishi nao kwa akili alikuwa na maana yake kwasababu alijua kwamba wana akili sana na ni yeye ndiye aliyewaumba, usijaribu kumbishia kwasababu kipindi anawaumba wewe hukuwepo, katika maneno muhimu aliyeamua kuyaandika na hili la tuishi nao kwa akili akaliweka, kama unavyojua wanaume hatutupani, na Mungu naye ni mwanaume lazima atupe code muhimu kama hizi. Ukiambiwa uishi na kitu kwa akili ujue nacho kina akili either sawa na wewe au kukuzid, haiwezekan kitu kisichokuwa na akili uishi nacho kwa akili ni matumizi mabaya ya akili.
Wanawake ni wepesi sana, awe na pesa asiwe nazo, awe na elimu asiwe nayo, hawa viumbe ni wepesi mno zaidi ya pamba, sema wana njia zao na lazima uive vizuri sana kwenye kuzijua hizo njia. Wanaume wengi tunafeli kwa kuwachukulia km tunavyowachukulia wanaume wenzetu, wanawake wana akili sana ni kweli lakin bahati nzuri sio wazuri wa kuzitumia akili zao, wao wanapenda sana kuzitumia akili za mwanaume alafu zake anaziweka kapuni. Sasa kazi kubwa ya mwanaume ni kuhakikisha mwanamke hatumii akili zake, maana akianza tu kutumia akili zake ndo basi tena ushaumia.
Jinsi ya kumfanya mwanamke asitumie akili zake ni kumfanya alirelax, akirelax atajiziuka na hapo ndo atakapoiweka akili yake pemben na kutumia za kwako. Hebu soma tips hizi uone jinsi ya kumfanya mwanamke asitumie akili zake:
i. Uwe na akili na smart, usimuogope hata kdg, kwenye majadiliano jitahid uwe na ushawishi wakat wote na hata km akitaka kujifanya mwenye akili jitahid uwe na hoja umzidi, na hii itokee mara nying nying atakubali kwamba una akili kuliko yeye, ataweka akili zake pemben
ii. Usilie lie eti akuonee huruma, act km mwanaume, usisuse suse, usipende kujinunisha nunisha(wanaume wafupi hapa mnalalamikiwa sana kuwa na hizi tabia)
iii. Uwe mtu wa kuamua maamuzi magum asiyeyatarajia, mfano umekuta anachat na mtu na ukamzuia haskii, chukua simu yake ipige chin ipasuke, then mcheck anafanyeje akileta mbwai unaleta mbai kweli kweli, na muhimu muda wa kurud nyumban mpangie kutokana na majukumu ya kazi yake km ana kaz au biashara, hakikisha anakupikia kila anapopata nafasi.
iv. Achana na kutatua matatizo yenu kwa njia ya demokrasia, hawapend demokrasia hawa japo mdomon watajifanya wanataka hiyo, dictatorship kweny ndoa ni lazima na huifanya ndoa idumu. Hii itafanya asikuchukie poa. Muachanishe na mashoga zake wale wapumbavu.
v. Mfanye akuamini, Muheshimu, hata km una mchepuko hakikisha hajui, wala asihisi kbs. Mwanamke akikuamini utaishi kama mfalme na atakutii, akili zake ataweka pembeni.
vi. Kama amekosea na umeamua kukaza basi kaza kweli, hii point muhimu sana, ukishindwa kukaza siku ya kwanza ndo basi tena utamfanya aanze kutumia akili yake then you are finished
vii. Hata km ana ukwasi kiasi gani, provide to her, usimruhusu kufanya mambo ya ndani kwa hela yake, na hata km akitaka kufanya hivyo mwambie aombe kibali kwako, na km mnatoka yeye ndo ana hela wew huna basi pesa akupe wew na sio kinyonge, mwambie pesa ni yako ila mim ndo nitakuwa nayo km hutaki tunaahirisha hadi mim nikipata pesa, sio mnaenda sehemu kwa mfano kula alaf yeye ndo anatoa pesa kulipa, utamfany atumie akilo yake sasa.
viii. Usimchukulie serious, ni km mwanao tu, yaan mlee na mrudishe kweny mstari wakat wote, msome, usireact muda wote, kuna vitu vingine piga Kimya soma upepo.
ix. Kuna mambo ya kike wanayafanyaga, km kujinunisha, kususa susa, kukujaribu jaribu, hapa tumia akili, kuna ile anafanya ili apate attention,mpe attention, ila kuna ile anafanya anataka atafute udhaifu wako gangamala, akijinunisha ndo muda wa kumwambia akuletee maji ya kunywa, akibisha mvute kwa nguvu hadi alete maji. Atajua hujaribiwa na itamlazimu aweke akili pembeni
×. Oa mwanamke unajiridhisha anakupenda, kuwa muungwana kwa mwanamke huyu, mpe show ya kiwango cha juu, kumkaripia kdg na vimakofi vya kumrudisha kwenye njia sahihi pale inapobid sio mbaya mara moja moja.
Dalili kuu ya kujua sasa mwanamke wakoa anatumia akili zako ni kutaka kila kitu umthibitishie afanye au asifanye, hawanaga ujanja hawa ukiwafikisha hapa, akipata trip kazin atakuuliza, akipigiwa simu kwao atakujuza na kukuuliza afanyeje, akinuniana na mfanyakaz mwenzake kazin atakuuliza afanyeje, umeme ukikatika atakuuliza afanyeje, yaan ni raha akifika hapa. Umbea wote wa pale nyumbani atakusimulia, atakueleza hadi alivyotongozwa na boss wake, wafanya kazi wenzake utawajua wote hadi tabia zao, yaani ni raha.
USISAHAU KUHAKIKISHA ANASALI AU ANASWALI, LAZIMA HII.