Recent content by Balfour declaration

  1. B

    JamiiForums Tanzania Bunge limeahirishwa bila Job Ndugai kuonekana kwenye kiti chake kipya

    Mkuu ,limeahirishwa mpaka lini?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Wakulima wadogo wote watageuka vibarua kwenye mashamba ya hawa mabepari

    Naomba Ni pm nipate namba yako mkuu
  3. B

    JamiiForums Tanzania Wakulima wadogo wote watageuka vibarua kwenye mashamba ya hawa mabepari

    Mkuu ni maeneo gani au Kijiji gani nami nipite angalau nijifunze kitu
  4. B

    JamiiForums Tanzania UDSM, IFM mbona mpo kimya majina ya vyuo vyenu yanapotumika katika video za ngono?

    Mkuu nami nahitaj connection Nitumie kwa pm yangu
  5. B

    JamiiForums Tanzania Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

    Bado sijazipata Mkuu
  6. B

    JamiiForums Tanzania Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

    Mkuu, unapatikana pande zipi naomba nipm nipate namba yako, natanguliza shukran
  7. B

    JamiiForums Tanzania Serikali tuelezeni hatma ya kiwanda hiki wakati watu wakiendelea kufa kwa malaria

    Naunga mkono hoja Mkuu, kiukweli hili Ni bonge la project ambayo ilikua na manufaa makubwa Sana kwa taifa letu na kizazi kijacho kwa ujumla, binafsi naomba Serikali yetu sikivu iliangalie hili kwa jicho la pekee, sijui kwanini Raisi wetu aliyetangulia mbele za haki hakuliwekea uzito unaostahili
  8. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru: Namshukuru Rais Samia kwa kuniteua kuwa mbunge, hii ni heshima kubwa kwangu kwani hadi sasa tuko nane

    Kwa akili ya kawaida huwezi kusema eti wakulima wa Tanzania wanahuruma na wakati wewe ndiye ulie amua kupanga Bei na kuwachagulia wapi wauze mazao yao
Back
Top Bottom