Wadau salaam.
Kwa muda sasa kituo cha televion cha ITV kimekua kikirusha vipande vya khutuba mbalimbali za hayati baba wa taifa baada ya taarifa ya habari ya saa mbili usiku. Clip hizo huwa ni za mada mbalimbali lakin clip iliyonifanya kuandika uzi huu ni ile inayozungumzia muungano wa...
Wadau
kama kuna mambo mfalme wa morocco hakaidi basi ni alivotembele zenji. huko kajirusha sana, kaogelea sana na si ajabu kapata mpaka "urojo" wa huko.
hebu chekini hii.
Picha: Mfalme wa Morocco akifanya manunuzi Zanzibar akiwa amevalia fulana na kaptula - SWAHILI TIMES
Wadau habar.
Mwenye taarifa nzuri jamani atupashe hivi ile kesi iliyofunguliwa na cuf kumshitaki msajili na lipumba imefika wapi? Maana naona prof. ambaye ni mwenyekiti halali akifanya kazi za chama ikiwemo hushiriki usafi wa jmosi ila mtatiro anakula nchi tu SA.
Tanzania Bwana!!
Hata ufanye mema vipi, utathamikika wakati huo tu ila baada ya hapo kila mtu hukulaani kama kwamba hujawahi kufanya lolote lenye manufaa kwa nchi yako. Hivi sasa kuna mbinu za chinichini za dhahiri na za siri zinazofanywa na watu fulani ili dr. arudishwe kutoka Malaysia na...
Katika muswada anaotaka kuuwasilisha bungeni hakika zitto kabwe niya yake hasa nikuwasaidia wazanzibar maana kwa hakika wao wenyewe hawawezi kujitetea.
soma hii.
Ndugu Wanahabari na Watanzania kwa Ujumla
Oktoba 8 mwaka huu, chama chetu cha ACT Wazalendo kilifanya Mkutano Mkuu wa Kidemokrasia...
Ajali mbaya imetokea leo maeneo ya chalinze na kuua mkurugenzi msaidizi wa elimu kwa umma wa wizara ya afya kwa jina Helen Semu.
===================
Habari Zaidi
===================
Mkurugenzi Msaidizi wa Elimu ya Afya kwa Umma wa Wizara ya Afya Hellen Semi amefariki leo kwa ajali ya gari huko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.