Wadau habar.
Mwenye taarifa nzuri jamani atupashe hivi ile kesi iliyofunguliwa na cuf kumshitaki msajili na lipumba imefika wapi? Maana naona prof. ambaye ni mwenyekiti halali akifanya kazi za chama ikiwemo hushiriki usafi wa jmosi ila mtatiro anakula nchi tu SA.
Mwenye contact za Pro pessa anipatie nimtafute aje mtaani kwetu kufanya usafi. Namhakikishia wapiga picha za mnato na video watakuwepo wa kutosha.
Ni heshima iliyoje mtaa wetu kusafishwa na mtaalam wa uchumi na Mwenyekiti wa zamani wa chama cha siasa. Mitaa mingine watatuheshimu sana
Ukiona mtu anamchuakia mtu aliyesoma ujue hakua na akili shuleni kwao,mtu kufanya usafi siyo kosa,kosa ni kufyeka chakura cha watu ili wafe njaa,mwambieni seif hizo siasa za mogadishu awache wapemba waishi kwa amani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.