Recent content by bakarani

  1. B

    JamiiForums Tanzania Lwakatare Video: Investigators Should Team up with Google to Uncover the Secret

    kweli binadamu ni wengi lakini watu ni wachache. bora uongoze kundi la ng'ombe wataelekea unakowaelekeza kwa sababu hawasemi kuliko binadamu
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ac za crdb mwanza branch kero

    Tatizo siku zote makao makuu huwa wanajijali wao tu huwa hawaoni matawi ya mikoani yanahitaji nini.Hayo ma air condition kwanza ni madogo kulingana na sehemu yenyewe halafu ni mabovu yamechoka kwa nini wasiweke air condition kubwa za kisasa zinazoweza kuhimili wingi wa wateja wanaokuja humo?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Gharama za mazishi ya Kanumba - huu ni upumbavu

    kwa nini kwenye hoja zenu zoooooote huwa hamuwaoni wazee wetu wanaoteseka kwenye makambi tuliowaweka eti kwa kuwaiga wazungu? kwa nini watu wasichangie kwa hawa wazee kwani serikali tayari imeshaonyesha haiwezi.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    Hilo la serikali kusaidia kwenye mazishi ya mtu mwenye uwezo na umaarufu mkubwaa kama msanii kanumba limeniuma sana hiyo ni moja ya kutafuta kura za vijana na wasanii. Hebu njoo kwenye kambi ya kuwalea wazee hapa misungwi machozi yatakutoka hiyo pesa ingetumika kuboresha nyumba na vyoo vya wazee...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Black science.

    huyo mzee ni mwanga kwani alimbeba kwenye hiyohiyo baiskeli
  6. B

    JamiiForums Tanzania Jaribu kufikiria mazungumzo haya ya mke na mume

    baada ya hapo ni ngumi tuuuu kwa kwenda mbele kwani mke atakuwa ameshagundua kuwa mme tayari anae mwanamke tena mnene kuliko huyo mke wake kwa hiyo akifa tu anahamia
Back
Top Bottom