Recent content by BAITUYU

  1. B

    JamiiForums Tanzania LIVE UPDATES : Yanga (Tanzania) Vs Al ahly (Misri),

    heshima kwenu wadau wa soka wengine tuko mbali na tv mtujuze matokeo ya mechi,asanteni
  2. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi hutoa udenda hapa

    kitu saa sita asikuambie mtu hasa mtoto akiwa kaenda hewani
  3. B

    JamiiForums Tanzania Asante Mama Gaudensia Kabaka, Erolink walinigombanisha na Mpenzi wangu

    yani pole sana bro,ila hao erolink ni nooma mimi mwenyewe nimo kwenye huo mkumbo,nateseka na wala mshahara wangu haujawai kukutana,nina miaka sita humu erolink ila mpaka sasa NSSF yangu hakuna ela zaidi ya laki 3,ukiwauliza wanakujazisha mafomu ya kupeleka NSSF na mfwatiliaji ni mimi,mara subiri...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

    hii mada ni nzuri japo kwa kupata elimu tuu na sio kuingia moja kwa moja.ila na mimi nina swali mkuu pasco,kuna siku house irl wetu alipandisha mapepo sikuogopa hata nilimshika kichwa na kuomba kwa ukimya gafla akaanza kusema lugha ya ajabu kwa kerere na mie nilikuwa siongei kwa sauti.pili uwa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

    r i p dr mvungi mungu akulaze mahali pema,watoto wako wa ustawi wa jamii tutakuombea daima
Back
Top Bottom