Mazee bila shaka mnakumbuka jinsi jk alivyoponda kwa sana taarifa ya tume ya walioba, na zaidi hasa kwa kuponda suala la waliotoa maoni, mimi ninaomba tujadili haya;
1. mara baada ya tume kukutana na watz ilikutana pia na taasisi mbalimbali na vyama vya siasa, na hapa kuna suala moja kwamba...
kwenye red hapo, naomba utambue kuwa hakuna mjumbe hata mmoja uliyemtuma dodoma kukuandikia katiba. Wote wamejitungia sheria ya kuwa wajumbe, na wengine wamepelekwa na raisi. Husipotoke na wala husipotoshe jamii.
Hivi wewe elimu yako ni ya darasa la ngapi?, hivi unashindwa kujua kwamba hakuna hata mjumbe mmoja ambaye anawakilisha wananchi?, ni lini umemchagua mtu na kumtuma dodoma kukuandikia katiba?, eti wawakilishi wao', wote walivyo ni yupi anayewajibika kwako au atakayewajibika kwako kwa michango...
Kwakuwa bunge la katiba linaendelea mpaka sasa, na kwa kuwa kundi kubwa la waliomo humo ni wabunge ambao tuliwachagua sisi na kwa kuwa hao wabunge waliapa kulinda katiba ya JMT, na zaidi kwakuwa ktk katiba ya sasa ya JMT hakuna kifungu chochote kinachowapa madaraka hao jamaa kutunga katiba mpya...
mkuu nakushukuru sana kwa msaada wako, ila naomba unisaidie kitu kimoja kwani mie si mwanasheria japo kimombo kinapanda, vipi waweza kuniandikia kwa marefu maana ya hapo kwenye red na je hiyo document naweza kuipata?. Zaidi ni kwamba huyu mwajiri anataka kufuta ajira za kudumu za wafanyakazi...
Samahani wanasheria naomba kufahamishwa kuhusu tatizo hili,
Kuna mwajiri (jina kapuni) anataka kubadilisha/kufuta mikataba ya wafanyakazi wenye ajira ya kudumu (a contract for an unspecified period of time) na eti awaingize katika mikataba ya muda maalum.
Hapa nashindwa kuelewa kama sheria ya...
wanajf nina gari langu aina ya surf cd yake niliipoteza na kwa mantiki hiyo sina ubavu wa kupata raha kupitia DVD/radio yake. hivyo naomba mwenye link ya kudownload hii kitu anisaidie. inaitwa ''Voice Navigation System - Toyota ND3T-W54, DVD Japan 2005 (A23) 86271 V358A4'' without quotes...
Mkuu nimefanya kama unasema lakini imegoma, link inafungukia google, lakini napojaribu link nyingine naona ziko poa. Mwenye ujuzi/aliyejaribu na kufanikiwa please let us share this doc.
Kwenye website ya chuo cha ardhi kuna link ya kushusha barua hizo, na ukiclick link za barua za program nyingine zinaachia mzigo na unadownload lakini mimi ambaye shida yangu ni kushusha adm. letter ya Bachelor of Science in Environmental Science and Management (B.Sc. ESM) nimeshindwa, naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.