Ni kher wasingetwambia kama kuna hyo second selection wangekaa kimya had siku ambayo wangejisikia kutoa wangetoa,kuliko kututia wahaka wa moyo!! Inauma sana na inatia hasira kwa kwel post za vyuo shida hzo second nazo shida hakuna hata kwenye ahuen! Eee mungu wee mbona shida mwaka huu!
Habar wanajf kwa taarifa nlizozipata kwenye page ya Dk.shukuru kawambwa amesema kuwa uteuz wa wanafunz wa second selection umekamilika na hvyo kuanzia muda wowote ndani ya wiki hii tamisemi watatoa post hzo.
Mmmh! Wanajf had saa hz hakuna lolote hil leo changa la macho,hakuna hata tetec kuwa kama hzo post ni tayar ama vp,hao wahucka wenyewe wako kmya hasaa cjui wana maanisha nn? Tutadanganywa hvyohvyo kila cku,cku ya leo imepita hakuna k2! Cjui kesho itakuwa vp!!! Twaomba mungu
Habar wanajf naomba kuuliza kwa cye tuliofanya application za ualm kupitia nacte tutapata ln post zetu? Halaf pia tutaanza kusoma pamoja na wale waliochaguliwa directly au kila kundi litaanza kivyake?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.