Recent content by bahati sindano

  1. bahati sindano

    Mama Lorah apiga push up kumuunga mkono Magufuli

    Hiyo ni akili kweli ,kuiga kunya kwa tembo ni kupasuka msamba,lowassa jembe anazidi kuwapa tabu sana,watazipiga sana si sera mmeishiwa,pipooooozi wanazidi kulishambulia lango la ccm ,huku nyuma ccm ikiwa imepigwa bao moja la push up wanateseka kinyama.
  2. bahati sindano

    UKAWA: Hesabu za kura hizi hapa - Usisubiri mpaka 25 Oktoba 2015

    Umetumia nguvu nyingi kuelezea kitu ambacho ni sayansi siku zote,kila dakika ,kila sec inabadilika pole sana ,lowasa ndo habari ya mjini
  3. bahati sindano

    Namshangaa Mh. Mbowe....!!

    nyie mnapenda kushangaa endelea kushangaa,mbowe ndo habari ya mjini
  4. bahati sindano

    Kweli nimeamini ulikuwa moto wa mabua

    Wananchi hawana imani na chama nyie mnajitahidi kurejesha imani ,ndo maana kwenye mikutano yenu mnatumia hadi punda hamjitambui
  5. bahati sindano

    CCM: Magufuli yupo tayari kwa Midahalo; tuna kila dalili ya Ushindi

    Ukawa wanajitambua ,kama na ccm wanajitambua wajibu kwa hoja ,wastupigie kelele tu
  6. bahati sindano

    Aunt Ezekiel na Ray wamerudi CCM

    Waondoke wanafikiri m4c ni bongo movie hakuna maigizo huko ni maamuzi magumu,sio kuweka dawa nywele li jibaba
  7. bahati sindano

    Kutoka Morogoro: Mkutano wa Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

    Chopa la ukawa ni noma linazunguka kila mahari kulipua kambi za ccm jana limelipua kahama wana ccm hawana hamu pipooooooooz ,achana na white hair ni noma
  8. bahati sindano

    Wanafunzi wanasombwa Bwenini kwenda kwa Magufuli Leo

    Mtawabeba sana kwa lowasa watu wanajipekeka wenyewe ,huyo ndo raisi
  9. bahati sindano

    CHADEMA Mbarali yaipa siku 7 Star TV

    Hawana lolote hao star tv ,mkurugenzi wao antony dialo alichemka kwa hainess tu
  10. bahati sindano

    Umeambiwa, Lowassa ni muongo, tapeli, fisadi, na bado una mshabikia! Una matatizo makubwa

    Kuna watu kweli akili zao ni matope miaka hamsini na nne ya kuhenya bado unaipenda sisiemu
  11. bahati sindano

    Pole Mnyika, Ubungo inaenda kwa Masaburi!

    Watasubili sana hao wamedanganya wananchi miaka hamsini na nne bado hawajaridhika tu tukutane october 25
  12. bahati sindano

    Yanayojiri: Mkutano wa Lowassa - Igunga

    Lowasa ni shidaaaaaaaaaa!!!!!!!!
Back
Top Bottom