Recent content by bahati mbaya

  1. B

    Hata kama umekosea, siyo sawa mke wako akulaze mahabusu

    Haya maisha siyo majaribio. Hivi ninavyoandika, kuna jamaa kampiga mke wake huko Muleba - Kagera na kumuua usiku wa leo. Hivyo vipigo kwa wake siyo dawa ya mahusiano.
  2. B

    Hata kama umekosea, siyo sawa mke wako akulaze mahabusu

    Inategemea aliumizwa kiasi gani ndugu! Chukulia huyo mwanaume amemtoa manundu au kampa maumivu ya ndani na hospitali hawatibu bila PF 3. Namjua jamaa aliyemkata mkewe kwa msumeno kwa ugomvi ambao hauna kichwa wala miguu, unategemea huyo mama angefanyaje. Nashauri kama unaona mwanamke au mme...
  3. B

    Wanawake tuwe waelewa tukiwa kwenye ndoa jamani

    Kama unaona kusoma kwa mwanamke kwenye familia ni shida, mbona mnatafuta usaidizi kwenye majukumu yenu kupitia vipato vyao? Hao wasiosoma watakuwa tegemezi hata kwa vitu vidogo. Na siku familia mkikwamba si wataishi kama enzi za ujima? au hayo hamuyaoni kwenye familia zinazotegemea kipata cha...
  4. B

    Wanawake tuwe waelewa tukiwa kwenye ndoa jamani

    Acha kujidanganya ndugu yangu, Wanaume wa kikurya ni shida wanapenda mteremko ndiyo maana unawaza kuoa Tarime kwa kuwa majukumu yote atakuwa nayo mkeo, wewe utakuwa unatanua tu na pesa yako kwa starehe na wanawake. Mbaya kwa mila zenu hana uwezo wa kuhoji mwanaume.
  5. B

    Wale mliooa wanawake wanaofanya kazi

    Wanaume wengine akiomba umkopeshe ndiyo imetoka hiyo. Pesa yako utaisikia kwenye matangazo. Ukimdai ugomvi unaanzia hapo. Hivyo wakati mwingine roho mbaya wanawake wanafundishwa na wanaume.
  6. B

    Wale mliooa wanawake wanaofanya kazi

    Lakini mtu ye yote asiyewatunza wa walio wake, yaani, wale wa wanyumbani mwake hasa,ameikana imani, tena ni mbaya kuliko mtu asiyeamini .1Timotheo 5: 8. Hivyo jukumu la kuhudumia familia ni la mme siyo mke. Mke ni msaidizi tu.
  7. B

    Wale mliooa wanawake wanaofanya kazi

    Kusaidiana katika maisha ya ndoa ni kuzuri sana. Shida inakuja pale ambapo mwanaume anapigia hesabu kipato cha mkewe na chake hakiweki wazi shida inaanzia hapo. Hakuna anayetaka shida katika maisha, ila wanaume wa kizazi hiki wanaoa wanawake wenye kazi ili kukwepa majukumu ya familia zako...
  8. B

    Wanawake mnaochepuka kuweni makini.

    Siyo wote wanaopata vipigo wamechepuka. Wengine ni kwa ajili ya kupigania haki zao katika ndoa au familia zao. Neno kuchepuka wanaume walio wengi wanalitumia kama mwavuli ili kuficha ukweli wa vyanzo vya ugomvi katika familia nyingi. Asilimia kubwa ya akina mama wanaochepuka ndoa zao zinakuwa...
  9. B

    Wanaume, ukimsaliti Mwanamke huyu, utakuwa na laana

    Mwanaume aliyekamilika ni pamoja na kubeba majukumu ya familia yake.
  10. B

    Wanawake wakati mwingine michepuko mnaitafuta wenyewe

    Unyumba umeufanya kuwa ni silaha katika maisha ya ndoa. Kama kuna vitu vya lazima na muhimu huvitimizi kama mwanaume unadhani mkeo atakupa unyumba. Nendeni kwa michepuko mkatimize haja zenu. Maana hata mkipewa kama dose ya panadal bado mtatoka nje. Wengine mmepata sababu tu.
  11. B

    Kwa hiki nilichokifanya kwa mke wangu niko sahihi au nimekosea?

    Ulichofanya siyo sahihi! ulimpa nafasi ya kusahihisha makosa yake? Pia inawezekana ulitumia vyeti feki. Alifukuzwa kazi kwa vigezo gani? Jibu kwanza haya maswali nitakuja kuchangia zaidi.
  12. B

    Heri ya Siku ya Wanawake 2019 kutoka JamiiForums

    Mimi ni nani? Mimi ni mama! Dunia inanitegemea, Watoto wananitegemea, Mimi ni mama. Ni wimbo mfupi wa kuonyesha nafasi ya mama katika Jamiii. Happy Women's Day!
  13. B

    Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

    Baraza la usuluhishi la Kanisa Anglikana.
  14. B

    Japo nililazimishwa kuoa, tena msichana walionichagulia wazazi ndoa yangu imekuwa neema na baraka bila kutegemea

    Hongera sana, endelea kuombea ndoa yako maana mwaka mmoja bado ni mapema sana.
Back
Top Bottom