Recent content by baharia

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ajali ya kutisha Jet lumo jioni ya leo

    duu wanajamii majanga
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mamlaka husika mnamuogopa Bakhressa?

    Kweli kabisa serikali ya bongo inafagilia ingawa bakhresa ni mwekezaji mkubwa nchini na ni chanzo cha ajira kwa vijana wengi lakini tuangalie na kero wanazopata wananchi walio wengi, hata kama wao ndio wameshika kwenye mpini
  3. B

    JamiiForums Tanzania Wana Jamiiforums!! Karibuni Tupande Mlima Kilimanjaro

    nipe gharama kwa kuanzia moshi kwani mimi natokea moshi mkuu
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mavazi ya Salma Msangi akiwa kazini jana hayafai

    salma msangi shame msisahau historia ya jamii (familia) na tamaduni zenu jamani
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ukombozi wa wasio na ajira

    usijali mkuu meseji imefika
  6. B

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    mimi nalikumbuka yarabi salama bila kukosea kwa mikoa ya kaskazini, shengena
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ijumaa njema

    amen kaka na wewe pia inshallah mungu atuwezeshe sote tuweze fikia malengo yetu ikiwa ni pamoja na kumcha ALLAH( s.w)
  8. B

    JamiiForums Tanzania Angalia picha ya itakavyokuwa mradi wa mabasi yaendayo kasi dar

    miundo mbinu ya bongo imekosewa kitambo plan hiyo ilitakiwa iwepo kitambo pawepo na under tunnel na flying over kwa sasa inakuwa ngumu kwani miundo mbinu ya bongo ni yakizamani inakuwa ngumu my be sijui serikali i fanyeje kwani kuanzia kwenye mitaro ya maji taka na maji safi ni zero...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Angalia picha ya itakavyokuwa mradi wa mabasi yaendayo kasi dar

    miundo mbinu ya bongo imekosewa kitambo plan hiyo ilitakiwa iwepo kitambo pawepo na under tunnel na flying over kwa sasa inakuwa ngumu kwani miundo mbinu ya bongo ni yakizamani inakuwa ngumu my be sijui serikali ifanyeje kwani kuanzia kwenye mitaro ya maji taka na maji safi ni zero...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    duu mimi mwenyewe nilikuwa sijui lolote kuhusu kumiliki kampuni binafsi kwani nina dreams hizo
  11. B

    JamiiForums Tanzania Marais na Viongozi wa nchi wataendelea kuriport VATICAN kwa papa

    tafadhalini wadau kwa kuuliza toauti kati ya vatcan na ITALY kwani vatcan nayo nchi
  12. B

    JamiiForums Tanzania Nifahamisheni viwanda hivi viko wapi?

    waheshimiwa nakumbuka nikiwa mdogo miaka ya 80 hadi 90 kuna kiwanda cha kusindika ngozi, mashirika kama ya usafirishaji, kauma ,kauru, kaudo na mengine mengi kam sukita,n.k
  13. B

    JamiiForums Tanzania Tafadhali acha kila unachofanya na soma hii, ni muhimu sana

    inshallah mungu atamsaidia atapona
  14. B

    JamiiForums Tanzania Siri hii hapa ya kutajirika kwa vijana wa kitanzania

    na kuna kauli moja huwa inaumiwa sana ujanja sio kuzaliwa mjini ujanja ni unaishi vipi mjini
  15. B

    JamiiForums Tanzania wa tz kwanini tuwe masikini wakati mali tunazo?.

    ni kweli mtoa maoni tanzania ni nchi yenye rasilimali nyingi sana ukilinganisha na nchi nyingine africa na zimetupita kimaendeleo , tanzania inaweza kujengwa na sekta moja tuu ya utalii tuangalie nchi kama ETHIHOPIA uchumi wao mkubwa wanategemea usafirishaji wa anga sasa sisi wabongo tuna...
Back
Top Bottom