Recent content by Baharia muasi

  1. B

    JamiiForums Tanzania Shamba la kupanda miti ya mbao/nguzo za umeme linauzwa - Iringa

    Km 100 kutoka mafinga ni wapi hapo usipataje? Je kunafikika kwa gari ya mizigo tone 15 isije ikawa uchindile ambako kutoa mzigo hadi uombe escort ya timber jacks 2 za green resources. Pleas mm nimewahi kuwa dereva wa gari ya mizigo ndani ya wilaya ya mufindi, navifaham vijiji vyotee vya wilaya...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Laptop zinahitajika

    Proprerties Hhd 160gb Specification zngne kama ram, processor zisome kwenye picha hapo
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nauza scania 124 semi trailer horse na flatbed

    Inatumia spring au air sunspension booster
  4. B

    JamiiForums Tanzania Maswali 10 kwa Vodacom Tanzania!

    Wamefirisika voda Ili kukompasate hasara waliyoipata wameanzisha hiyo jaymill ili wateja mchangie hizo 300
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nauza scania 124 semi trailer horse na flatbed

    If possible rusha picha yake ikionesha horse kwa mbele, ubavuni, inside na general view ya trailler
  6. B

    JamiiForums Tanzania Nauza scania 124 semi trailer horse na flatbed

    Niko mbali na dar Pleas unaweza nipa specification zake 1.plate number yake ni ngap? 2. Imported when and from where 3. Trailler yake ni home made au ya mtumba 4. Traillers axles zinatumia spring au air sunspension booster 5.0ther necessary specification kama inatembea ni local au transt, diff...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ukistaajabu ya Escrow utaona ya Mwakyembe

    Reli ingepunguza utitiri wa malori ya mizigo kwenda mikoani kama mbeya, mwanza hivyo kuathiri biashara ya usafirishaji mizigo ya familia ya rais inayomilikiwa na Ridhiwani. Pia ingepunguza soko la mafuta maana magari ya mizigo ambayo ndo consumers wa mafuta yangunguza safari hivyo kampun za...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Pikipiki boxer inauzwa

    Mm naitaka Nina 1.m Kama uko tayari tueasiliane hata mchana huu naibeba nko kawe
  9. B

    JamiiForums Tanzania Shamba la kupanda miti ya mbao/nguzo za umeme linauzwa - Iringa

    How much per acre Lipo wapi
  10. B

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Vodacomu mtandao chakavu Wanatoa huduma mbovu Kwa gharama ndo wanaongoza Mtandao umekaa kama genge la matapeli Wanaongoza kwa huduma mbovu kwa mteja Wanategemea kuchota pesa za wateja kijangili Tigo ndo mpango mzima Basi voda igeni mfano
  11. B

    JamiiForums Tanzania Pata gari mpya na used kwa bei poa

    Nataka scania 113 r420 hub reduction, xlbs hub nina 63 mill kwa hosrse na trailler
  12. B

    JamiiForums Tanzania Operesheni safisha wanigeria nchini

    Polisi wetu wengi walifeli kidato cha nne, mtandaoni bado wadhaifu xanaaaa Wanachojua ni kuwanyanyasa madereva wa malori Pambafu sao
  13. B

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupata Scholarship

    Mchepuo gan unasoma tukusaidie Na unataka ufadhili wa aina ipi? Full sponsorship au partial sponsorship?
  14. B

    JamiiForums Tanzania Vyoo vya kujisaidia ukiwa umekaa vina starehe lakini ni ‘majanga’ kwa watumiaji

    Kunya ni kunya tu Uwe umechuchumaa au umesimama. Shujaa anayelenga shabaha choo cha shimo
  15. B

    JamiiForums Tanzania Carina Tx iko sokoni, Fast Deal!

    Nina 7mill cash
Back
Top Bottom