KUIONGEREA Tanzania ya leo bila kumwongelea Mwalimu JK Nyerere ni kujidanganya.
Wengine wanathubutu kusema eti awamu hii imefanya maendeleo makubwa kuliko ya Nyerere, ni kwa vigezo gani?
Mwalimu alisema hatutaki maendeleo ya vitu, majumba, barabara, magari, bali tunataka maendeleo ya...
Njia fupi kutoka Mwanza kuelekea Aljazeera Ukerewe-3 Jumatano, Februari 27, 2013 06:38 Na Ratifa Baranyikwa
WIKI iliyopita MTANZANIA JUMATANO ilieleza habari za uchunguzi katika sehemu ya pili ya mfululizo wa makala haya, kuhusu kile kinachodaiwa...
Njia fupi kutoka Mwanza kuelekea Aljazeera Ukerewe-3 Jumatano, Februari 27, 2013 06:38 Na Ratifa Baranyikwa
WIKI iliyopita MTANZANIA JUMATANO ilieleza habari za uchunguzi katika sehemu ya pili ya mfululizo wa makala haya, kuhusu kile kinachodaiwa...
We sindio ulimshikia bango Dr Slaa kuwa ana kadi mbili kama vile wewe ndo unaye zilipia, sasa kamtee Bwanako nape mwana hyaramu anaye lazimisha kuwa mtoto wa NNAUYE kumbe kibaka tu, ndiyo maana kazi yake nikuropokatu
Usiupotoshe umma wa watanzania kwa habari za uongo na
uchonganishi. Mbona sisi huku jimbo la segerea sehemu ya hela hiyo inakuja kila mwezi?
wacha kuleta ujinga hapa, na signatory wa hizo ni:Mchele Kisholi, Amani Mgeni Efraim kachale na Diwani wa kata ya KIMANGA. Hao ndio wanao husika kwa jimbo...
Millya anatakiwa awe na msimamo kama
Mpendazoe aliye acha mafao ya ubunge na hata alipo polwa ubunge
wa Segerea akafungua kesi magamba wakamfata na kumhonga ubalozi
alipokataa wakambambika kesi ya wizi gari na madawa ya kulevya
lakini bado anaendelea kuwatesa magamba.
Lowasa hafai ila sijui vigezo ulivyotumia
ukisoma hotuba za Nyerere jamaa huyu hafai kabisaaa
kwasababu sijasikia akiongea juu ya rushwa za kimtandao
ndani ya CCM, na yeye zote zinahusishwa na yeye.
Mimi siwzi kuulaum uongozi hata kidogo coz uchaguzi wa 2010
nilihusika katika nafasi kubwa kama msimamizi wa mawakala kata. Na mahali ambapo
nisimamia nilifanikiwa kupata diwani lakini kwa kulinda kura kwa siku 2.
Ukiangalia/kusikia matarajio ya watu, wengi wanafikiri cdm iko juu kivile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.