Recent content by bady_badru

  1. bady_badru

    Mikopo ya elimu ya juu kwa wanaojiunga kutokea diploma

    Ahsante mkuu kwa kupigilia msumali, ss je hali itakuaje kwa mwaka huu kwa tuliomalza 2016? Kunapossibilities kwl za kupata kw kuambatanisha transcpt? ⓑⓐⓓⓨ
  2. bady_badru

    Mikopo ya elimu ya juu kwa wanaojiunga kutokea diploma

    Mkuu izo kaz za kupata kw dploma ndo mtihan unapokuja, kuna baadh ya facult dploma utasota asee alf hyo case ya yatima au coz cdhani kama waliizngatia yan wapo mie nnaowafaham zaid ya 20 walpgwa chn sa cjui kp klzngatiwa apo ⓑⓐⓓⓨ
  3. bady_badru

    Mikopo ya elimu ya juu kwa wanaojiunga kutokea diploma

    Habari wakuu, mwaka jana wanafunzi wenyesifa ya diploma kujiunga na elimu ya juu walikosa mkopo ila haikufahamika kwa kigezo gani, sas nmeleta uzi huu kwa yeyote mwenye taarfa sahihi kuhusu mwaka huu itakuaje atujuze tafadhali naona kam taifa la wasomi linaanza kushindikana iv kwa watoto wa...
  4. bady_badru

    Naomba mnisaidie kuhusu hili

    Aaah wap co kwa mwanamke ambae tyr kaonja ladha ya ule mchezo, alf mmefahamiana mpk mje kuoana kama miaka miwl iv kutokana hal ya maisha ss unatak nambia hapo kat lktokea lakutokea cndo kudharaulka uko ⓑⓐⓓⓨ
  5. bady_badru

    Naomba mnisaidie kuhusu hili

    Nkkmkuta na usichana wake bado na akkakidh vgezo vya kua mwanamke wa maisha yng naye akaniridhia aaah kusubir mbn n jambo dogo san, hof kubwa tulyokua nayo wanaume n nkmuacha atanichukuliaje lbd cpg mech au vp ndo mana inakuaga ngum kdg ⓑⓐⓓⓨ
  6. bady_badru

    Uzi maalum wa kutambua marafiki wanaotumia simu kama yako.

    Blackberry priv[emoji135] ⓑⓐⓓⓨ
  7. bady_badru

    Msaada: Nifanyeje nisionekane online wakati natumia whatsapp?

    Ukitumia gbwhatspp n rahc kama kufumba na kufumbua tena unaweza hide vtu vng mno ⓑⓐⓓⓨ
  8. bady_badru

    Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

    Naptia wap ili kuvjua ivo mkuu ⓑⓐⓓⓨ
  9. bady_badru

    Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

    Wakuu mm n graduate wa dploma ya electronics n telecom pale dit nko familier na simu matitizo ya software kwny upande wa cm hasa hasa hz smartfone n nmekua nkreceive cm za watu wenyemattzo hapo mtaan kwetu and i was able to solve them lkn kwa ujanja ujanja yan cna zle mbn zenyew sa naona...
  10. bady_badru

    Linux (Ubuntu, kubuntu, Debian, fedora, linux mint, kali linux, android etc) special thread

    First naiona hii os nliipenda japo ilkua ngum kutumi nnampango ss wakuiweka kwny pc yang uku nkiendelea kujfunz vtu vng huu uzi umenifaa san mkuu ⓑⓐⓓⓨ
Back
Top Bottom