Msaada: Nifanyeje nisionekane online wakati natumia whatsapp?

Bofya'setting',,,,,itakuja orodha ya maneno bofya neno 'account',,,,,,,,,,itakuja orodha nyingine ya maneno,bofya neno 'privacy',,,,,,,itakuja tena orodha,bofya 'last seen',,,,,,,,then utabofya sehemu iliyoandikwa'No body.Umemaliza.
Ww hujaelewa mkuu yy anataka asionekane online ht akiwa online ss ww umemuelekeza last seen

Sent from my HUAWEI SCL-U31 using JamiiForums mobile app
 
Hata m siifaham

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Tatizo mkuu unatumia tecno [emoji4] hamia huku iphone[emoji39] hakuna atakayekuona
 
Mkuu hilo jambo haliwezekani kuzuia kuwepo online,ila utazuia tu last seen,ila online ukiwepo utaonekana kama kawaida
 
You are right...
Nashangaa hao wanao sema official whatsapp ina option ya kukufanya usionekane upo online.

Hans Pol
Naomba unipe tofauti ya official watsap na hyo gb whatsap
 
Kama unatumia official whatsapp Inawezena kabisa nenda kwenye setting >>account>>privacy>>last seen chagua hapo ila kumbuka na wewe hutawaona

Ila Kama unataka makubwa zaidi ya hayo kama
>>kuangalia status za wenzio bila kuonekana kama umeview
>> kuwa online muda wote hata kama simu umeuza
>>kusoma message za mtu bila yeye kupata tiki mbili anapata tiki moja tu
>>kutuma mafile makubwa mpk 50mb
>>kuseti upo offline wakati upo online unakula tu goodtime bila distubance
Na mengine mengi
tafuta gbwhatsapp
Link please
 
Cant find Gbwhatsapp on playstore. Do you have any link please?
 
Shida yote ni ya nini mkuu? Mchague mmoja tulia nae

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Naomba unipe tofauti ya official watsap na hyo gb whatsap
Official ni original yaani rasmi....GB Whatsapp na Whatsapp+ ni zile zilizochakachuliwa toka official Whatsapp....
 
Naomba unipe tofauti ya official watsap na hyo gb whatsap
Official ni ile ambayo imetolewa na whatsapp wenyewe.
Lakini hizi zingine mfano gbwhatsapp, yowhatsapp, nowhatsapp nk
Ni whatsapp zilizo chakachuliwa na kuongezwa features ambazo kwenye official hazipo.

Zicheki hapa whatsapp zilizo kuwa modified
WhatsApp Mods

Hans Pol
 
Kama unatumia official whatsapp Inawezena kabisa nenda kwenye setting >>account>>privacy>>last seen chagua hapo ila kumbuka na wewe hutawaona

Ila Kama unataka makubwa zaidi ya hayo kama
>>kuangalia status za wenzio bila kuonekana kama umeview
>> kuwa online muda wote hata kama simu umeuza
>>kusoma message za mtu bila yeye kupata tiki mbili anapata tiki moja tu
>>kutuma mafile makubwa mpk 50mb
>>kuseti upo offline wakati upo online unakula tu goodtime bila distubance
Na mengine mengi
tafuta gbwhatsapp
Umesahau pia na kudownload status ipoo pia kuletewa notification mtu akibadili dp kwa whatsap zao za wahenga huezii kuta ivoo vitu[emoji38][emoji38]
 
Ukitumia gbwhatspp n rahc kama kufumba na kufumbua tena unaweza hide vtu vng mno

ⓑⓐⓓⓨ
 
Attachments

  • Screenshot_2017-07-18-10-13-04.png
    Screenshot_2017-07-18-10-13-04.png
    185.9 KB · Views: 92
Bofya'setting',,,,,itakuja orodha ya maneno bofya neno 'account',,,,,,,,,,itakuja orodha nyingine ya maneno,bofya neno 'privacy',,,,,,,itakuja tena orodha,bofya 'last seen',,,,,,,,then utabofya sehemu iliyoandikwa'No body.Umemaliza.
kweli mkuu imekubali ila na mm siwaoni
 
Back
Top Bottom