Recent content by badru sadick

  1. B

    Zitto Kabwe na kujiuzulu kwa Professa Kitila Mkumbo ni ushahidi mwingine wa upinzani uchwara wa Tanzania

    Ndugu yangu ni kiongozi yupi wa chama ambae hayuko kimasirahi binafsi?
  2. B

    Mbowe: Dereva wa Lissu akirudi Tanzania anaweza akauawa

    Mbowe huwa na kuunga mkono kwa busara zako,lakini kwa kauli yako ya kuhusu Dreva wa Lisu umeniangusha,swali dogo,Mh.akipona na kuruhusiwa vp Dreva hatorudi Tz?
  3. B

    Sakata la Lissu: Mange kufunguka

    Mzee mamvi aliwaambie achaneni na habari za Mange lakini wanajifanya viziwi
  4. B

    Tumeacha mambo ya msingi tumeanza kutafutana maofisini kwa kurekodiwa

    Kiki kwa pikipiki,wao wanafikiri mkulu anategemea umbea kumtoa mkuu wa mkoa,mbinu zao za kuwachafua wateule wake anazijua vizuri,Gambo na Mbyeti kazeni buti wabaneni mpaka wakose pakutokea
  5. B

    CCM wakimfukuza Nape, CHADEMA wamkaribishe awe Katibu Mwenezi

    Mbona mzee Mamvi hakuungama ufisadi mlokuwa mnamtuumu nao? mlikaa kimya kwa kuwa alinunua chama na wanachama? unamsema N.aungame kwa kuwa hana pesa ?
  6. B

    Nisaidieni mwanamke wangu sometime mkavu ni kwamba ana matatizo?

    Hana hisia na wewe,mchunguze vizuri kuna jamaa anaemzimia kuliko wewe
  7. B

    Makonda anatoa wapi fedha ambazo Wakuu wa Mikoa, Mawaziri na wabunge wanashindwa kuzipata kwa maeneo yao?

    Makonda anakondesha watu kwa mavitu yake,mtaendelea kuisoma namba,fanyeni kazi kama Makonda anavyofanya kazi
  8. B

    Kwanini mbinu zilizotumika kuwanasa waliomshambulia Meja Mritaba zisitumike kuwanasa waliomshambulia Lissu?

    Kwa nini mnamficha Dreva wa Mh.Lisu? Muda utafika ukweli utajulikana tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. B

    Mhe. Tundu Lissu kuhamishiwa India kwa matibabu zaidi

    India 10m huwezi tumia kwa siku,au ndo kufa kufaana? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. B

    Kwanini Dereva wa Lissu akimbizwe Nairobi?

    Kitaeleweka tu,Dreva wa malehemu Chacha Wangwe walimkana mara oh hajui kuendesha mara hakuwa dreva wake,tuwe na akiba ya maneno Sent using Jamii Forums mobile app
  11. B

    Wazee wa CHADEMA bwana; wamjadili Mwinyi badala ya Mwenyekiti wao

    Hawa jamaa wameishiwa sera kilichobaki ni kusubiria mtu kasema nini,Mwinyi hajakosea Kutoa maoni yake Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
  12. B

    IKULU, DAR: Rais Magufuli afanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Kampuni ya Barrick Prof. John L. Thornton

    Lisu alikuwa anajpigia debe ili kesi zitakapokwenda mahakamani ndo awe wakili wa kutetea wanyonyaji,mnaomsujudia Lisu ndo mjue alivyo na tabia za kinyonga
  13. B

    Magufuli sio kiongozi, ni mwanaharakati tu kama wengine

    Shukrani ya punda mara nyingi huwa ni mateke,haya anayoyafanya Magufuli mmwyapigia. Kelele muda mrefu sana,kaanza kuyafumua mnamuita mwanaharakati![emoji125] [emoji109]
  14. B

    Gwajima: Makonda ni zero brain, amuomba Magufuli kumpangia kazi nyingine

    Kondoo wa Gwajima jitatafakalini,badala ya kuubilia Bwana Mungu wetu mnaubiliwa Bashite iwasaidie nini na nyie mnamshangilia mchunga kondoo! Tanzania ni nchi ya ajabu sana tunashughulishwa na vitu visivyokuwa na faida tunaacha vyenye tija
Back
Top Bottom