Recent content by Bado kidogo

  1. B

    Wapi nianike Chupi yangu?

    Mh! yanini kuvaa, utachelewa ukiipata ya chapchap!
  2. B

    Muundo wa Muungano: Tanganyika tunataka 'Serikali moja, nchi moja, taifa moja'!

    Huu ni mwisho wa CCM, maana hata wenyewe yanawageuka mauzauza yao ndio hali inakuwa hivi. Ulisikia wapi jimbo moja wabunge wawili tena kijinsi! Hii ni hatari sana, Tz angalieni CCM inakotupeleka jamani, maamuzi ni yetu!
  3. B

    Ungekuwa wewe ungefanyaje?

    Cheki mipango yako, maana hayo hayakuhusu, ila fanya mikakati ya kumjuza kiaina. Hasa mjuze aje home kwa usiri ili aje ajionee mwenyewe! Pia kuhama ni busara mno. wakati upo huko ulikohamia ndio michakato ya kumpa mbinu kaka yako ya kumfumania mkewe uifanye. Ili ionekane mchezo huo kaanza baada...
  4. B

    Yaliyojiri katika Maandamano na Mkutano wa Wapinzani Jijini Dar - Feb 10, 2013

    Hii mzuri nguvu ya inafanye kazi kuing'oa ccm:target:
  5. B

    Spika Makinda aburuza Bunge; aahirisha Bunge hadi kesho...

    Tatizo la nnji hii ni sisiem.
  6. B

    Hii ni kupeana hasara tu.

    Hiyo safi, hela utafute wewe mwingine aje kuifanyia maozoezi ya kuipoteza! Alafu kwanini tabia hizi wadada hawaziachi!
  7. B

    Ndoa za siku hizi

    Huu ndio ukweli! asilimia 80% za hufungwa wakati mimba ina miezi zaidi ya mitatu, 18% wakati wana watoto tayari na 2% wakati wamekaa pamoja kama mume na mke kwa zaidi ya miaka mitatu. Kwa takwimu hizi 0% ndio ndoa sahihi, sasa kuna haja gani ya kwenda kanisani! Mbaya zaidi hata harnmoon hakunaga...
  8. B

    Bunge lageuzwa ukumbi wa ngonjera.

    Sio yeye tu, bali wabunge wengi wa ccm, ukianzia na Lukuvi, Mhagama ......
  9. B

    Mnyika atangaza kumkatia Rufaa Naibu spika kwa kuihujumu hoja yake binafsi Kuhusu Maji Dsm

    Hii ndi njia pekee iliyobaki, kipigo hadi kifo! mmoja baada ya mwingine!
  10. B

    CCM ilizaliwa tar 3/2/1977

    CCM imekufa kabisa! iweje ifanyiwe sherehe ya kuzaliwa wakati iko tumboni mwa TANU NA ASP! Hii inatudhihirishia mwisho wao upo tayari. :nimekataa
  11. B

    Kwa Wana Mtwara: RAIS AMEWADHARAU MNOOOO

    Muda ni leo jamani tusingoje kesho! Let us what ever we can!
  12. B

    Tundu Lissu: Hoja ya Kigwangalla ni Hoja ya kutongozea kura 2015

    Sina neno hapa. ila Jenista mh!! 2015 kuzikwa tu:A S angry:
Back
Top Bottom