Recent content by badison

  1. badison

    Tutashuhudia mengi kabla ya 2025

    Madam president yupo very stable mkuu na anaheshimika sana unafikiri kwanini anasafiri na kurudi nyumbani mda wowote? Kagame kuja Tanzania tuu halali. Rais Samia labda yeye mwenyewe aamue kuwa sigombei tena uraisi 2025 na atuchagulie mtu mwingine yeyote amuachie kiti. Ila vijana wanatamaa...
  2. badison

    Wikileaks: Nyaraka mpya za siri zimevujishwa. Tanzania & kenya zatajwa. Steve Jobs alikufa kwa ngoma (HIV)

    Jana mtandao wa wikileaks uliachia baadhi ya taarifa za siri kuhusiana na watu maarufu pamoja na Nchi mbalimbali. Mwanzilishi wa kampuni ya apple marehemu Steve Jobs alikufa kwa ukimwi. Mimi ndio maana nikiona mwanamke anatumia iPhones sina muda nae wala simtongozi. Taarifa za siri za serikali...
  3. badison

    Ni vizuri Mradi wa Bonde la Mto Msimbazi na Daraja la Jangwani tungewapa Waholanzi Watujengee

    Mkuu bila wasiwasi wapewe RABAG International hawa walijenga mwendokasi miaka ile ya 2015
  4. badison

    Vegetarian tukutane hapa

    Protini mnaipata wapi?
  5. badison

    Vegetarian tukutane hapa

    Chakula chenu kikuu ni nini?
  6. badison

    Najiona maisha Yangu yakikosa nuru kabisa na kuelekea ukingoni

    Hiyo tatoo nyuma ya makalio ilitosha kukwambia stop. Ila hongera sana umepokea mkoba ishi nao kwa matumaini. Na hapo kinondoni hama mtaa kwani tayari ushaunganishwa kwenye gridi ogopa sana mtu anakujua unakaa wapi halafu wewe hujui pa kumpata. Somo nililopata hapo ni kwamba usipende...
  7. badison

    Watakaobainika kuhusika na sakata la Katibu Mkuu kudhalilishwa utu wake waanikwe hadharani

    Chongolo unakumbuka kisa marehemu le mutuz masogange? Mpaka dada akavujisha ile clip ya le mutuz?
  8. badison

    Watakaobainika kuhusika na sakata la Katibu Mkuu kudhalilishwa utu wake waanikwe hadharani

    Kwa mimi namjua chongolo personally ni mtu wa mamlaka nakumbuka kipindi chongolo ni DC wa Kinondoni nilikuwa naonana nae kuhusiana na maswala ya usuluhishi wa migogoro flani. Ila sikuwahi kuona kwamba ni mtu mwenye haiba ya chini. Kama zile chat za whatsapp ni za kwake kweli ila na yeye ni...
  9. badison

    Siku 470 nikiwa na hofu ya kuambukizwa virusi vya Ukimwi

    Ukifuatilia sana ukimwi utaupata shauri yako
  10. badison

    Mapenzi na Siri zake za ovyo

    Sasa wewe ndio umejua leo hiyo ni kawaida sana
  11. badison

    Tanzania hakuna chama cha upinzani, tuna wapiga kelele na wakosoaji

    Baada ya kufika dar mara ya kwanza niliendaga kinondoni manyanya pale sitaji mtaa ila baada ya kuona ofisi ilivyo nikasema bora ccm waendelee tuu kwa kweli
  12. badison

    Makato ya Mshahara kwa Daktari mpya Serikalini, bado tuna safari ndefu sana

    Kwahiyo unahisi ccm wakitoka ndiyo mishahara itapanda
  13. badison

    Tajiri Bakhresa Kujenga kiwanda Cha Kusindika Mafuta ya Alizetia Kwa Bilioni 255 Malawi. Kwa Nini Hawa Matajiri Wanakimbia nyumbani Tanzania?

    Mkuu linganisha Tanzania na malawi alafu uniambie tajiri ni nani. Wewe unadhani wachina wanapiga hela wakiwa pale china au wakiwa Nchi maskini za hapa Afrika? Hizo ni oportiunity ambazo watanzania wenye pesa wanatakiwa wazichangamkie kabla malawi hajawa na akili twende kule tukateke mashamba na...
  14. badison

    Tajiri Bakhresa Kujenga kiwanda Cha Kusindika Mafuta ya Alizetia Kwa Bilioni 255 Malawi. Kwa Nini Hawa Matajiri Wanakimbia nyumbani Tanzania?

    Mkuu moja ya kuwa Nchi tajiri ni kwenda kuwekeza kwenye Nchi masikini. Hilo ni jambo zuri sana na ni hatua kwa wafanya biashara na wafanyakazi wa Tanzania. Hapo lazima management itatoka Tanzania na cheap labour itatoka malawi. Pia bei ya mafuta itapungua. Ingekuwa ni benki ya crdb imefungua...
Back
Top Bottom