CCM imeharibu sana mfumo wa utawala bora na uwajibikaji ndiyo maana hivi vikokotoo hakuna wa kuwasaidia wastaafu hadi labda mkuu wa nchi ajisikie kuwa imetosha sasa na wakiondoe...
Tanzania inahitaji kura yako ili iweze kubadilika kutoka kwenye kuporomoka kuelekea kwenye kukua
Mkuu
Ipo hivii, pesa nyingi inaenda kustawisha tawala ya CCM hususan kununua mitambo ya kuhack mawasiliano ya Watanzania badala ya kuwekeza kwenye tafiti na majaribio ya sayansi za mawasiliano.
Tuendelee kufanya uchawa kuwafurahisha watawala na Idara huku magoli yakiwa wazi.
Kwanza nataka nifahamu huo uchadema wangu upoje upoje?
Mimi ni Mtanzania natumia uhuru wangu wa kikatiba kuzungumza chochote ilimradi sivunji sheria za nchi.
Unapoamua kutumia kichaka cha ubaguzi ili kujificha kwa kudhani ndiyo majibu ya matatizo yako ni kujiongezea aibu na kujiumbua upumbavu...
Siyo kila anayekosoa ni CHADEMA.
Jaribu kujenga hoja bila kujifanya kihoja.
Tunazungumzia the failling state chini ya watawala na siyo unelected fellows. Tuoneshe kiweledi wapi CHADEMA aliwahi kupewa ushindi halali wakaongoza zaidi ya kuporwa ushindi na kibaya zaidi hata mikoa waliyopata...
Nimeshakujibu mkuu.
CHADEMA imenadi sera zake kila uchaguzi mkuu unapowadia na pia kwa kuwa nchi ipo mikononi mwa rais siyo rahisi kunadi sera za chama kingine baada ya uchaguzi.
Lakini sera zipo ni vile una uvivu wa kufikiri ndo maana unajaribu kuleta utoto mitandaoni.
Wakuu habari za wakati.
Tunakumbuka yaliyotokea mwaka 2029 kwenye mchakato mzima wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji.
Watendaji ngazi ya mitaa na vijiji walielekezwa kuweka vikwazo kwa wagombea wasiotokana na CC kwa nafasi zote.
Wakurugenzi wa Halmashauri walishirikiana na...
Unashindanaaa lakini mwishowe utashindwa
Inawezekana usiione sera ya uchumi ya CHADEMA kwenye mitandao, lakini miaka yote wanapoingia kwenye michakato ya uchaguzi mkuu wanauza sera yao ambayo kiuhakika ina mchango chanya kwenye uchumi wetu. kama siyo CCM kuiba kura tungekuwa mbali sana kupitia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.