Recent content by Bad debts

  1. B

    JamiiForums Tanzania Azam Tv kutoonyesha Michuano ya Afcon 2022

    Ebwana ulipata wapi canal
  2. B

    JamiiForums Tanzania Azam Tv kutoonyesha Michuano ya Afcon 2022

    Ngoja nikitafute
  3. B

    JamiiForums Tanzania Azam Tv kutoonyesha Michuano ya Afcon 2022

    Kumbe affordable na signal hazisumbuagi
  4. B

    JamiiForums Tanzania Azam Tv kutoonyesha Michuano ya Afcon 2022

    Canal malipo yake kiasi gani mkuu kwa channel za michezo
  5. B

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kutatua shida hii ya kusikia harufu

    Ninatatizo kama lako kwa mwaka sasa kila siku najipa moyo itaisha leo itaisha kesho Sijui tiba yake nini hasa
  6. B

    JamiiForums Tanzania NECTA Yatangaza matokeo ya darasa la Saba. Shule 38 zafutiwa matokeo kwa udanganyifu

    Kufanana ktk kupatia huwaga hakuna shida ila kufanana ktk kukosea ndio kunaibuaga kufutiwa matokeo haiwezekani jibu liwe A halafu wanafunzi 60 wote wa shule moja waandike B na wakati Kuna machaguo manne wakifanana ktk kukosea maswali zaidi ya matatu hapo kuna tatizo kunaashiria udanganyifu umetokea
  7. B

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Puig out of squad due to illness Nafasi yake ndio kachukua collado Sent using Jamii Forums mobile app
  8. B

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Hii ndio kwanza mechi ya kwanza tumpe muda kocha de jong jana hakuwepo arthur katoka majeruhi puiq ndio hivyo anaanza kuingizwa kidogo kidogo Atakaporudi dembele na tukimpata finisher mmoja kariba ya suarez mbona setien mtampenda Halafu siyo kila game mtacheza vilevile na kupata matokeo...
  9. B

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Possession 81% to 19% Tikitaka is back 433 without the ball 343 with the ball Mpaka sasa nimemuelewa Setien Sent using Jamii Forums mobile app
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya provision for doubtful debt?

    Kwa urahisi treatment yake Any provision has credit balance kwahiyo ukipewa provision for bad debts kwenye trial balance lazima itakuwa upande wa credit basi wewe fungua account ya provision na treat hiyo uliyopewa ktk trial balance kama balance b/d utaiweka upande wa credit na utayopewa ktk...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mwakinyo ashinda pambano lake dhidi ya Tinampay

    Inanikumbusha man pac na myweather Pac alipiga nyingi kinoma myweather akawa anarudirudi nyuma tu na kuvizia mwisho wa siku myweather kashinda
  12. B

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Dkk ya 6 now Sent using Jamii Forums mobile app
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini ubora wa magolikipa upimwe kwa clean sheets!?

    Na ndio maana De Gea amekuwa ktk team of the year mara 5 ktk miaka 6 iliyopita epl na katika miaka yote hiyo ni mwaka huu tu ndio anaongoza kwa clean sheet Ina maana miaka mingine yote alikuwa haongozi yeye kwa clean sheet na still alikuwa anachaguliwa kama golikipa bora Ingawa zipo tuzo maalum...
  14. B

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Usimu underrate umtiti kihivyo uliza duniani siyo spain Kwa currently Umtiti ni best defender
  15. B

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    2-0
Back
Top Bottom