Recent content by babykailama

  1. babykailama

    Yupo wapi Spika Mstaafu, Job Ndugai?

    Taharuki ya nini? Aweza kuwa na sababu binafsi tu kama Wabunge wengine ambao pia hawakuwepo. Taharuki ingekuwepo kama angekuwa bado ni Spika na haonikani Bungeni bila taarifa kwa Umma.
  2. babykailama

    Rais Kagame 2019 tu alisafiri nje mara 59. Leo safari 9 tu za nje za Rais Samia kelele kila kona. Je, ni Ushamba?

    1. Hakuna haja ya kuanza kuchukua mfano wa Kagame wala yeyote 2. Safari za Rais nje ni Wajibu ( asiposafiri anakuwa hawajibiki) na ni Haki yake (Mkuu wa nchi ni Mwanadiplomasia no.1; anakaribishwa na pia ana haki ya kupanga kuzuru Nchi nyingine kwa ajili ya nchi yake hususan, kukuza diplomasia...
  3. babykailama

    Ufafanuzi: Halima Mdee na wenzake waliingizwa Bungeni na Serikali ya CCM, hawakuingizwa na Ndugai. Hawatafukuzwa

    HAPANA , SEMA, "Kwa hiyo Halima Mdee na wenzake hawataondolewa Bungeni kwa vile KATIBA YA NCHI NA SHERIA ZA NCHI ZINAVUNJWA NA WANANCHI WANAONA SAWA TU". Hivyo kinyume cha tungo hiyo pia ni kweli!
  4. babykailama

    Mwendelezo wa hujuma dhidi ya Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan

    Sina uhakika kama ni jambo lililopangwa; kama ndivyo basi niwarejeshe ma Architects wanaotingisha kiberiti kuwa KIMEJAA!
  5. babykailama

    Yawezekana hayati Magufuli alikuwa anateua watendaji bila kuwahusisha VP na PM?

    Haijalishi. Hayo ndiyo MAMLAKA, MADARAKA NA WAJIBU ya / wa Rais. Angeamua hata angeweza kuanza UPYA KABISA katika kila Teuzi bila kujali aliyekuwepo alishirikisha mtu au la!
  6. babykailama

    TANZIA Jenerali Tumainiel Kiwelu afariki Dunia, kuzikwa Mbezi Loius Dar

    RIP Kamanda. Kwa MKurugenzi wa Habari an Mahusiano wa JWTZ asante sana kwa taarifa na uandishi uliosimama: Sahihisho: Ukiamua kutujulisha familia ya marehemu huwezi kuandika nusu kuwa ameacha Mke na Watoto. Utaulizwa Watoto wangapi; Majina ya Mke na hao Watoto n.k
  7. babykailama

    Hujuma kwa mstakabali wa Amani, Usalama na Maendeleo ya Taifa letu

    NIZA zinduka acha kufikiri habari za Wanasiasa tu; Tanzania ni yetu sote wakiwemo wanasiasa wachache na wasio wanasiasa wengi saaana wanaoitakia mema nchi.
  8. babykailama

    Hujuma kwa mstakabali wa Amani, Usalama na Maendeleo ya Taifa letu

    Kibs umekuna ubongo wangu. Haya ndiyo mabandiko niliyazoea toka kwa ma Think-Tank wa JF. Mod aachilie huu uzi utembee watu wachangie. Mimi naona tunze na hao Wabunge 19 Waondoke Bungeni kuanzia J'Tatu. Kisha ndani ya miezi sita BUNGE la KATIBA liitwe. Wabunge wa Bunge maalumu waombe kazi hiyo...
  9. babykailama

    Nataka niwashtaki Halotel

    Unlimited speed & unlimited data downloading / uploading ni tofauti: Lakini nikubali kuwa Kampuni kadhaa za simu zinaibia watu fedha kwa kuwachomekea huduma pasipo maelezo ya kinagaubaga! Consumerism ni somo linalotakiwa ili walaji tujue haki zetu tukatae 'matangazo majipu'. Hata yale ya...
  10. babykailama

    Naona Magufuli anaenda kinyume na ahadi zake mwenyewe

    1. Kuna wanaolia leo ; watacheka kesho na kunyume chake. 2. Inaonekana una kumbukumbu nzuri za ahadi za Rais; orodhesha pia aliposema kuwa katika kutekeleza ahadi pataweza kuwa na maumivu.
  11. babykailama

    Mchanganuo wa wasomi katika baraza na Serikali ya Rais Magufuli

    Ni vema watu wakalielewa hili: Aseme Udaktari wa Falsafa (Ph.D) na si Uprofesa ( kada)
  12. babykailama

    Mbunge Martha Mlata azuiwa JKNIA kusafiri, hakuwa na kibali cha Ikulu

    Kwanza Soma hapa: STANDING ORDERS FOR THE PUBLIC SERVICE 2009; Published by Authority Pursuant to S.35 (5) of the Public Service Act, Cap.298 (51) “Public servant” means a person holding or acting in the public service office; (52) “Public service” means the system or organisation...
  13. babykailama

    Amerudi Kwenye Baraza, Mpiganaji Aliyepigana Hadi Risasi Ya Mwisho!

    Maneno mazito hayo Maggid:hand: Ifike wakati wamiliki wa Media wasomeshwe matumizi yenye mashiko ya hivyo vyombo vyao. Swali la kipima joto jana lilikuwa: Wanaotumia vyombo vyao vya mawasiliano, kupotosha umma na kwa faida ya maslahi yao hata kama ni kwa gharama za kudumaza maendeleo ya...
Back
Top Bottom