Recent content by BabyDiana

  1. B

    JamiiForums Tanzania Here I come on JF BabyDiana

    Jamani nawashukuru sana kwa kunikaribisha Excel asante sana kwa kunipenda. Watu8, Mbeya yetu, Buru58, Ulimakafu,andybird314, Globu, Theodore Bangwell tuko pamoja.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Sifa za walimu wapya 2014!

    We bila shaka ni mtoto wa mama na hujayajua maisha. Mod hebu tuondoleeni huu upuuzi hapa.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumamosi, Tarehe 12 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    unategemea nini kwa hii TBC ya Juma mkaa 100? Lazima watakuwa wanakatikiwa tu. Shenzy type!
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kisa cha mtoto aliemuua mume wake wiki moja baada ya ndoa.

    Safi sana hilo litakuwa fundisho zuri kwa wanaume wote wenye tabia hiyo huko nigeria.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Tusi hili mwanaume yeyote hawezi vumilia

    Mwanaume dakika mbili tu hoi wa kazi gani? kuchafuana tu.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Here I come on JF BabyDiana

    Ndugu wana JF after a long wait BabyDiana is in now. Hope mtanipokea na tutakwenda sawa kwa hoja zenye mashiko na jokes za hapa na pale.
Back
Top Bottom