Recent content by Baby moma

  1. B

    JamiiForums Tanzania Anatishia kuninyang'anya mtoto

    Maumivu nilopata siku nazaa huyu mtoto,mtu hawezi mchukua tu kizembe,ndio maana nasema niko tayari kwa lolote lakini si kuchukuliwa mwanangu.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Anatishia kuninyang'anya mtoto

    Nitapajuaje kwao ikiwa hataki kutoa ushirikiano?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Anatishia kuninyang'anya mtoto

    Sijamnyima kumwona mwanaye,tatizo anataka kumchukua mazima wakati alimsusa toka mimba.ningeitoa mimba je?angeitwa baba leo?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Anatishia kuninyang'anya mtoto

    Simhitaji yeye nachotaka ni mwanangu
  5. B

    JamiiForums Tanzania Anatishia kuninyang'anya mtoto

    Sihitaji kulipwa kwani hakuna awezaye lipa malezi na upendo wangu kwa mwanangu.ajaribu kuninyanganya huyu mwanangu aone,niko radhi kwa lolote kwa ajili ya mwanangu.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Anatishia kuninyang'anya mtoto

    Hata mimi nina ajira yangu,so naweza mlea vizuri tu.nimemnyonyesha bila choxhote kwa miezi 6 ,wadhani bila lishe ya uhakika ni mwanamke gani anaweza nyonyesha mtoto exclusive kwa miezi sita hapa mjini?
  7. B

    JamiiForums Tanzania Anatishia kuninyang'anya mtoto

    Asante,ofisi za ustawi wa jamii kwa dar ziko wapi kama unajua nifahamishe,nikaripot kesho
  8. B

    JamiiForums Tanzania Anatishia kuninyang'anya mtoto

    Sijakataa,wala sijawahi mnyima kumwona mwanae ingawa yeye mwenyewe ndio huwa hajishughulishi kumwona mwanaye.Na sina mpango wa mtoto kutomjua baba yake,tatizo ananitishia kumchukua mwanangu niliyembeba kwa uchungu miezi 9.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Anatishia kuninyang'anya mtoto

    Habari za mchana, Nimezaa na kijana mmoja ambaye alinitelekeza toka niko mjamzito.Nilimove on na maisha yangu nikalea mimba haadi mtoto akazaliwa,hajawahi hudumia huyu mtoto tangu mimba hadi leo ana mwaka sasa. Siwajui ndugu zake na wala kwao haijulikani kama hata ana mtoto kwani hajawahi hata...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuniumiza, amerudi anataka turudiane

    You can never trust a black man,nishajifunza na nimesema kamwe sitarudi nyuma,i will never fight for a dick.
  11. B

    JamiiForums Tanzania AJALI: Leina Tours lapata ajali maeneo ya Kimara, Dar

    Dah hatari,mmie ndomana nikiona bus ama lorry nyuma yangu huwa nayapa ishara yanipite tu,you can never trust them.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuniumiza, amerudi anataka turudiane

    S Siwezi mwambia baby wa sasa,najua ataumia sana,kwani amefanya kazi kubwa sana kunirudishia furaha yangu.Huenda akachukia wanawake for the rest of his life,and i can't live with that. Natamani nimpe mtoto but siwezi huyu mtoto ni kama roho yangu.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuniumiza, amerudi anataka turudiane

    Watz mlioko Jf punguzeni kuwa fake,mnaumiza watu kwa maneno yenu,nobody is perfect,sisi ni binadamu tu.Afu pia mods sijapenda kubadilisha title ya thread yangu mmenipa kazi sana leo kuisearch.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuniumiza, amerudi anataka turudiane

    Wrong hata hajanigusa.bt can you imagine anamtumia mamake sasa kuniwin over,dah you men are a piece of works. Hapana,ndo karudi na anataka ndoa kabisa,mamake ndo anamsaidia kunisoften
  15. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuniumiza, amerudi anataka turudiane

    Wrong hata hajanigusa.bt can you imagine anamtumia mamake sasa kuniwin over,dah you men are a piece of works.
Back
Top Bottom