Recent content by Baby E

  1. B

    Sitasahau: Tulitolewa nduki ukweni siku ya posa

    sio nuksi wala nini vijana wa siku hizi awanaga adamu me binafsi naona mzee ajakosea hata kidogo :rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes:
  2. B

    Tusaidiane: Mwenye GPA 2.7

    ni kweli GPA ni nzuri lakin unapokuja kwenye uhalisia wa utendaji kazi ni wewe binafsi tena jaman ukifatilia vizuri wenye GPA kubwa kubwa wako mitaan,:A S shade::A S shade: bahati na umaili wako kwenye interview tuuuu unaweza ukawa na GPA YA KUJICHORA mapajani na kupiga chabo mwanzo mwisho
  3. B

    Nina Degree ya Uchumi na Diploma ya Ualimu, natafuta kazi

    hey wadau ajira ni ngumu jaman mwacheni kama kuna mtu anaweza msaidia msaidie tuuu :glasses-nerdy:
  4. B

    Hivi ni kweli wasichana wenye elimu wana kiburi?

    si kweli inategemea na malezi ya mtu huyo na pia kama ni mpango wa MUNGU oa tuu :A S shade::):):):):):)
  5. B

    Askofu Charles Gadi atoa tahadhari kwa kampuni ya Dorsal Group

    leo ndo jumatano tunaomba mrejesho saa kumi
Back
Top Bottom