Kwa mimi nadhani Mungu ni jina tuu wanadam wamelitengeneza katika kutafuta uwepo wa nguvu ya ulimwengu isiyoelezeka. Lakini hiyo nguvu iko ndani ya kila mtu na ndo mana hatufi, ila huu mwili wa nje una expire tuu. Mafanikio yote unayoyaona ni wewe mwenyewe umejipatia kwa sabab una nguvu ndani...
Mimi nadhani kabla ya wazungu waafrika tulikuwa na namna zetu za kuishi hata kama hakukuwa na teknolojia lakini mambo yalikuwa yanaenda na watu walikuwa wanaomba na wanajibiwa. Lazima tujiulize kwa nini hakuna historia za maisha ya mababu zetu, kwa nini zimefunikwa, tunasikia tuu stori za...
Asante. Yan wala havihusini. Wanatafuta pa kulaumu wamekosa, wakaamua waongelee wanawake. Kwamba mwanamke akitaka haki sawa ndo vinyeo vya wanaume vinapata muwasho!
Ni kweli kuna wanawake wachafu, lakini sababu kubwa ya magonjwa ya wanawake sehem za siri ni wanaume wao, unakuta mwanaume anatoka na magonjwa tofauti kutoka kwa wanawake tofauti analeta nyumban, na kwa wanawake magonjwa ya sehem za siri yanaonekana haraka kuliko kwa wanaume
Hata mimi ndo nnachopitia. Nilitolewa jino ambalo liligoma kuota, nna ganzi mpk leo na ni wiki 3, kwenye kuuliza ni kwamba walichokonoa nerve ya usoni ndo mana pana ganzi lakin panaweza kupona penyewe baada ya miez m3 hadi6
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.