Ganzi ya kung'oa jino!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ganzi ya kung'oa jino!!

Discussion in 'JF Doctor' started by Man Ngosha, May 28, 2012.

 1. Man Ngosha

  Man Ngosha Senior Member

  #1
  May 28, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Habari wana Jf!!
  Nadhan mnakumbuka niliomba ushauri kuhusu tiba ya jino bila kung'oa,nawashukuru wote mlionipatia ushauri mwingi ikiwemo Root canal treatment na dawa nyinginezo!!niliamua kwenda kwa hospital kumuona doctor wa meno,mwanzoni nilipigwa xray ili kubaini kiini cha tatizo na nikapewa dawa tu za kutumia kwa maelezo kuwa tatizo likiendelea nirudi tena!!Baada ya kutumia dawa bila mafanikio,LEO nilirudi tena kwa doctor,na akaniambia kuna options 2 i.e Root canal treatment na kung'oa!!Kutokana na ushauri wake juu ya uhakika wa canal treatment kwamba huwa inafeli na huenda tatizo likajirudia baada ya muda!!Niliamua kung'oa jino!!!
  SASA,WASIWASI WANGU NI JUU YA GANZI NILIYOCHOMWA KWANI HADI HIVI SASA BADO KICHWA CHOTE KIZITO NA TAYA LOTE!!JE,GANZI HUDUMU KWA MUDA GANI?? NIMECHOMA SINDANO MBILI (2)
  Naombeni mwenye mwanga juu ya hili anieleze,manake napatwa na mashaka isije ikawa ndo kuparalize upande mmoja wa kichwa!!
  Natanguliza shukrani za dhati!!!!
   
 2. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 5,023
  Likes Received: 2,645
  Trophy Points: 280
  Inaweza kuchukua mpaka masaa 24,ila yakizidi muone tena daktari wako.
   
 3. Man Ngosha

  Man Ngosha Senior Member

  #3
  May 28, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Ok.wacha nione mwisho wake.
   
Loading...